cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Sasa weye waanza kuchafua hali ya hewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Sasa weye waanza kuchafua hali ya hewa.
Astaghafirullah,Mungu akusameheWengine hawajui hzo imani pia na huyo mwadhini angetumia akili za kuvukia barabara na sio kupayuka misibani
unamaanisha angeacha kuwaita waumini wake kwenda kufanya ibada?Wengine hawajui hzo imani pia na huyo mwadhini angetumia akili za kuvukia barabara na sio kupayuka misibani
Hamna Cha msamaha nitasema kweli daima wallah. Kupiga kelele kwa msiba sio fair banaAstaghafirullah,Mungu akusamehe
[emoji23][emoji23][emoji23]kaleta distraction isiyo na kichwa wala miguuUmemmind sana yule mwadhini? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kupotezeana muda, kila mtu asali Imani yake, Mimi hainihusu na mishe zangu zitaendeleaAlionyesha kuiheshimu, japo mimi ni mkristu ile ni kawaida ambayo pengine tz hasa bara bado haijazoeleka,nakumbuka nikiwa kule Oman hata mkiwa ndani ya gari ikifikia muda wa adhana na redio ya gari inaongea au inapiga muziki huwa inazimwa muda huo kwa dakika 3 au,4 hivi
Wavaa makobaz na suruali njiwa ni kisangaWangekuwa wao sasa, ungesikia Makafiri hayo, yanatupigia kelele.
Takbiiiiir!
Hata mimi nafanya ibada hyo method ilikuwa ya kale with technology no need ya hvo vitu Tena kwa tukio ka la leo. Mie huenda church bila kengeleunamaanisha angeacha kuwaita waumini wake kwenda kufanya ibada?
kwa ninavyowafahamu waislamu, hakuna kitu kingine kikubwa zaidi ya ibada!
Ningekuwa Mimi naendelea tu kwa kweli hyo kusubiria nilikuwa sijuiiIlibidi UHURU atulie kwanza. Nilifurahi ilipoisha adhana na kuanza kuzungumza tena watu walimpigia makofi kuonesha jinsi gani alifanya jambo la maana sana.
Dah mna maneno watuWengine hawajui hzo imani pia na huyo mwadhini angetumia akili za kuvukia barabara na sio kupayuka misibani
Hahahaaa, baadhi yao siyo woteWangekuwa wao sasa, ungesikia Makafiri hayo, yanatupigia kelele.
Takbiiiiir!
kuna misingi fulani ya kiislamu ambayo kamwe haiwezi kubadilika wala kuvunjwa, kuitana katika ibada kwa kupitia adhana ni mojawapo. wataendelea kuitana kwa mtindo huo hata mileleHata mimi nafanya ibada hyo method ilikuwa ya kale with technology no need ya hvo vitu Tena kwa tukio ka la leo. Mie huenda church bila kengele
Watu wa ivi dunian kote wapoSasa weye waanza kuchafua hali ya hewa.
Hii si mara ya kwanza namuona Kenyatta anafanya hivi. Inaonekana utamaduni wa kuheshimu imani za watu kwa Kenya uko juu sana.Wakati Mh Rais Uhuru Kenyetta anatoa hotuba yake kulikuwa na mwingiliano wa Adhana kutoka moja ya msikiti ulio karibu na uwanja ule. Cha kushangaza mara baada ya kusikia hivyo alilazimika kusubiri mpaka adhana ile iishe. Hii inaashiria nini wanabodi.? Au alitulia tu kwa huzuni yake.?
Unataka kuchafua hali ya hewa?Ni vizuri sana kwa imani kuheshimiana,inaleta umoja na mshkamano.
Kama vipi Uhuru aitwe a.ka Mohammed na Samia aitwe a.k.a Magreth[emoji23]