luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Mm nakumbuka mwaka flan kipindi cha nyuma sana nilikuwa na girlfriend muslim bac iyo azana siku moja ina pigwa sie tuko busy tuna shiriki tendowaislam kuna la kujifunza pale pindi ADHANA inapoadhiniwa.