Kongole Rais Uhuru Kenyatta kwa kuheshimu adhana

Kongole Rais Uhuru Kenyatta kwa kuheshimu adhana

Bado swala yaendelea wamepunguza kidogo sauti.

Sisi ni watanzania tuna hekima na busara sana

Hii ndo heshima ya Tanzania tulojengewa duniani na baba wa taifa Mwalimu Nyerere.
Wamechemka hapo msikitini aisee kwa kweli shughuli ilikuwa muhimu, sio adhana kwa nguvu
 
Wamechemka hapo msikitini aisee kwa kweli shughuli ilikuwa muhimu, sio adhana kwa nguvu
Kamemo kalipenyezwa na vijana mwadhini akaelewa.

Mwadhini ni kama mpiga kengele wa kanisani aweza kufikiwa aliko.
 
Alionyesha kuiheshimu, japo mimi ni mkristu ile ni kawaida ambayo pengine Tanzania hasa bara bado haijazoeleka.

Nakumbuka nikiwa kule Oman hata mkiwa ndani ya gari ikifikia muda wa adhana na redio ya gari inaongea au inapiga muziki huwa inazimwa muda huo kwa dakika 3 au,4 hivi.
 
Wakati Mh Rais Uhuru Kenyetta anatoa hotuba yake kulikuwa na mwingiliano wa Adhana kutoka moja ya msikiti ulio karibu na uwanja ule. Cha kushangaza mara baada ya kusikia hivyo alilazimika kusubiri mpaka adhana ile iishe. Hii inaashiria nini wanabodi.? Au alitulia tu kwa huzuni yake.?
Kwa waislam hawaruhusiwi kuongea mpaka adhana iishe.Alichofanya UK ni kuheshimu Imani za waislam
 
Kwa waislam hawaruhusiwi kuongea mpaka adhana iishe.Alichofanya UK ni kuheshimu Imani za waislam
Wengine hawajui hzo imani pia na huyo mwadhini angetumia akili za kuvukia barabara na sio kupayuka misibani
 
Back
Top Bottom