Kongole Rais Uhuru Kenyatta kwa kuheshimu adhana

CARDLESS

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2017
Posts
7,840
Reaction score
15,918
Wakati Mh Rais Uhuru Kenyetta anatoa hotuba yake kulikuwa na mwingiliano wa Adhana kutoka moja ya msikiti ulio karibu na uwanja ule.

Cha kushangaza mara baada ya kusikia hivyo alilazimika kusubiri mpaka adhana ile iishe. Hii inaashiria nini wanabodi? Au alitulia tu kwa huzuni yake?
 
Mbona iko wazi alisubiri adhana iishe
 
Yaani hili nalo ni swali.
Yupo sahihi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…