blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 12,112
- 15,060
Ndani yake huyu jamaa namuona Godzilla(RIP). Ni ngumu sana mapengo kuzibwa ila nimemfuatilia huyu kijana ni genius wa kuandika.. hatumii nguvu nyingi sana,,hakuna kiki za kijingajinga hakuna teaser(vionjo) vya kupima upepo kama wafanyavo wengine.
Anatoa kazi anaachia kazi.. kizuri chajiuza, msemo huu wamfaa sana huu ujio mpya.
Sasa je! Yupo kudumu au naye atafuata upepo ulele uvumao then wazima FUUU... I personally wish him a long stay.
What do you think . !? Kibao chake kipya hiki...easy but 💥💥