Kontena lililokuwa na vifaa vya msaada vya Bunge la Kenya kutoka China lafunguliwa na kukutwa tupu

Kontena lililokuwa na vifaa vya msaada vya Bunge la Kenya kutoka China lafunguliwa na kukutwa tupu

Hao wachina watwaamini wakenya au watesema ni wakor.
Hivi katika hali kama hii, mimi nilitegemea huyo balozi wa chini nchini kenya ndiye alipaswa akabidhi hilo konteni, na lifunguliwe akiwepo. Kama hiyo hali ni kweli, basi kuna mabo matatu:

1: Kontena lilibadilishwa. Walikosea wakatoa konteni tofauti na lilikuwa limeandaliwa.
2: Wajanja walicheza dili
3: China imeichoka kenya hivyo huo ni ujumbe kwao

Ni zaidi ya hapo!
Hii issue si makosa ya kawaida! Kuna mambo ya kijasusi ndani yake!
 
Hatari sana... Watu wameshagawana vya kwao...

Mamlaka ya bandari iwajibike...



Cc: mahondaw
 
Mido inkamu kantre bana, wanasaidiwa mpaka meza na viti vya wabunge wao.
 
Na kodi yao pia hupotea hivyo hivyo🙂
China iliahidi kuipatia Kenya vifaa mbalimbali vya Ofisini kama sehemu ya kuboresha urafiki wao. Ubalozi wa China nchini Kenya ulipewa taarifa kuwa vifaa hivyo vimetumwa kwa meli na vitawasili Julai 2019

Lakini katika hali isiyo ya kawaida Ubalozi wa China umeonesha kushangazwa baada ya kutaarifiwa na Bunge kuwa kontena lilipofika Bungeni Julai 30, 2019 na kufunguliwa lilikuwa halina kitu chochote ndani(tupu)

Ubalozi huo umebainisha kuwa hii na mara ya kwanza kwa kitendo kama hicho kutokea kwani kwa miaka kadhaa wamekuwa wakiwasaidia Wakenya vitu mbalimbali na vyote vimekuwa vikifika salama

Kutoka na suala hilo, Bunge limeitaarifu Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai na China inaamini kuwa litashughulikiwa na vifaa hivyo kupatikana bila wasi wasi huku wakisisitiza kuwa wataendelea kuisaidia Kenya

View attachment 1168945View attachment 1168946View attachment 1168947
 
The equipments were intercepted by our National intelligence service, they contained spying softwares
 
Back
Top Bottom