Kontena lililokuwa na vifaa vya msaada vya Bunge la Kenya kutoka China lafunguliwa na kukutwa tupu


Ni zaidi ya hapo!
Hii issue si makosa ya kawaida! Kuna mambo ya kijasusi ndani yake!
 
MK254 Inakuwaje mnapewa kontena halina kitu halafu mmetumia gharama kulisafilisha na cha mwisho nchi tajili mnapewa msaada hii ni aibu
 
Hatari sana... Watu wameshagawana vya kwao...

Mamlaka ya bandari iwajibike...



Cc: mahondaw
 
Mido inkamu kantre bana, wanasaidiwa mpaka meza na viti vya wabunge wao.
 
Na kodi yao pia hupotea hivyo hivyo🙂
 
The equipments were intercepted by our National intelligence service, they contained spying softwares
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…