Kontena zaidi ya 2 ya Jezi feki zinazokadiriwa kuwa na thamani ya zaidi ya Tsh. Bilioni 2 zakamatwa

Kontena zaidi ya 2 ya Jezi feki zinazokadiriwa kuwa na thamani ya zaidi ya Tsh. Bilioni 2 zakamatwa

Shida ni kwamba jezi original bei kubwa sana. Imagine MTU avae tishet ya 40,000

Wachache sana ndio wanamudu wengine walala Hoi tunamudu za elfu nane nane
 
Ni upumbavu mkubwa mno kumlaumu huyo mfanyabiashara na tatizo lake ni kwamba hajawapa fungu ndiyo maana wamemgeuka.
Ni jezi ngapi FEKI zimetapakaa mtaani na hata humo madukani kila siku TRA na mamlaka zingine wanapita kukagua leseni na vibali vingine hawaoni haya?.
Ifike mahali tuache huu upunguani na uduanzi wa kiwango hichi...
 
Shida ni kwamba jezi original bei kubwa sana. Imagine MTU avae tishet ya 40,000

Wachache sana ndio wanamudu wengine walala Hoi tunamudu za elfu nane nane
Hizo Jezi zinatengenezwa kwa gharama kubwa sana, na ubora wa hali ya juu. Unaweza kuzivaa kwa muda mrefu bila kuonesha uchakavu. Ni pesa nyingi sana watu wamewekeza.

Hakuna jezi original ya klabu yoyote ya Ligi Kuu duniani utauziwa kwa elf 8. Jezi ya Mashujaa nimenunua juzi, ni elf 35.

Vitu feki / copy lazima vipigwe vita sana hapa nchini, ili wanaowekeza wapate thamani ya uwekezaji wao, lasivyo hakuna mtu atatamani kuwekeza hapa TZ
 
SASA wakaze fuvu wakati jez za Manchester arsenal Liverpool zinauzwa Kwa elfu 16 nzuri na imara ya Simba 40,000

Sawa watawquzia wenye uwezo tuu
 
Huo mzigo ni zuga mbele ya camera tuu.. Bil 2 sio kapukuu wa Bush huko leo aamue kuagiza jezi tuuu mzigo una watuu na Utauzwaaa vizuri tu.
Ni kweli kabisa. Jezi hizo zitauzwa vizuri tu na utashangaa wamiliki ni hao hao wanaosemekana walikuwa eneo la tukio, hahah
 
Feki ina maana hazifai kuvaliwa ama?Labda ungesema zimeingizwa kinyemela 🤔
 
Nchi watu wanafanywa wajinga sana,Kwamba haijulikani ali agiza Jezi ni nani, na pia hata Godown halijulikani ni ni la nani,Maana yake halina mmiliki,Hakuna walinzi hapo?

Au na wao hawajui nani anawalipa?

Ile Biashara huenda kuna mkono wa watu wa Simba na Yanga na TFA,kwa kifupi ni syndicate ile
 
Nnachoshangaa kwanza mtu unavaaje jezi 24/7
Huwa naona watu wanazurula nazo tu kwenye mabar mitaani,club etc
 
Back
Top Bottom