Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo Jezi zinatengenezwa kwa gharama kubwa sana, na ubora wa hali ya juu. Unaweza kuzivaa kwa muda mrefu bila kuonesha uchakavu. Ni pesa nyingi sana watu wamewekeza.Shida ni kwamba jezi original bei kubwa sana. Imagine MTU avae tishet ya 40,000
Wachache sana ndio wanamudu wengine walala Hoi tunamudu za elfu nane nane
SASA wakaze fuvu wakati jez za Manchester arsenal Liverpool zinauzwa Kwa elfu 16 nzuri na imara ya Simba 40,000Hizo Jezi zinatengenezwa kwa gharama kubwa sana, na ubora wa hali ya juu. Unaweza kuzivaa kwa muda mrefu bila kuonesha uchakavu. Ni pesa nyingi sana watu wamewekeza.
Hakuna jezi original ya klabu yoyote ya Ligi Kuu duniani utauziwa kwa elf 8. Jezi ya Mashujaa nimenunua juzi, ni elf 35.
Vitu feki / copy lazima vipigwe vita sana hapa nchini, ili wanaowekeza wapate thamani ya uwekezaji wao, lasivyo hakuna mtu atatamani kuwekeza hapa TZ
HSC hao ndiyo wanajua kuigeuza TPA na TRA kama chapati.Kontena zinakamatwa, iweje aliyeziingiza asijulikane? TRA na TPA wanamjuwa.
Hivi wamesema hajulikani au ametokomea?Kontena zinakamatwa, iweje aliyeziingiza asijulikane? TRA na TPA wanamjuwa.
Imeandikwa "na mpaka sasa mmiliki wa jezi hizo hajafahamika "Hivi wamesema hajulikani au ametokomea?
Hii nchii hata Mmiliki wa lile Godauni hajulikanii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kontena zinakamatwa, iweje aliyeziingiza asijulikane? TRA na TPA wanamjuwa.
Huo mzigo ni zuga mbele ya camera tuu.. Bil 2 sio kapukuu wa Bush huko leo aamue kuagiza jezi tuuu mzigo una watuu na Utauzwaaa vizuri tu.Ajali kazini
Ni kweli kabisa. Jezi hizo zitauzwa vizuri tu na utashangaa wamiliki ni hao hao wanaosemekana walikuwa eneo la tukio, hahahHuo mzigo ni zuga mbele ya camera tuu.. Bil 2 sio kapukuu wa Bush huko leo aamue kuagiza jezi tuuu mzigo una watuu na Utauzwaaa vizuri tu.