Kontena zinavyobadilishwa na kuwa makazi Kenya

Ubunifu mzuri sana nahisi hata gharama zipo chini sana. Mnafanyaje kukabiriana na joto na baridi?
 
we import more than we export, kwahivyo hapa kenya kuna surplus nyingi sana ya makontena, mwanzo hii ibafaa iwe project ya serikali, (NYS),

maduka yote ya vibanda kwa jiji iwe ni hatia kujenga kibanda ndani ya jiji, lazma utumue kontena.... slum zote wapelekewe ma kontena..... mji utakua unakaa poa sana..

alafu sasa wafanye project nyengine ya kujengea watu mashambani nyumba za 2-3 bedroom za kutumia makontena, tuondoe nyumba zote za udongo nchi nzima
 
Ubunifu mzuri sana nahisi hata gharama zipo chini sana. Mnafanyaje kukabiriana na joto na baridi?
simplest method ni kueka madirisha ya kutosha ili kupitisha upepo,
alafu kwa picha nyingi nimeona, watu ambao wako na hizo nyumba wamejenga mahali kuna kivuli cha miti, ambayo inahakikisha kontena ambayo ni mabati itakua inazizima kila wakati sababu miti inazuia jua kupiga mchanga na kuufanya uwe moto...


pia kama uko mahali hakuna miti itabidi uongezee kitu kama mwavuli wa chandarua, alafu nyumba yenyewe iwe mahali juujuu ili upepo ueze kupita na chini ndo mchanga wa chini usiguse kontena



kukabiliana na baridi, unaongezea sakafu ya mbao
 
garama za kutengeneza ni kama tsh ngap ili na sisi tuanze agiza kama ni nafuu kuliko nyumba za tofali
 
Hahahaha, boss unaishi kwenye container ama[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
height ya container (standard) ni 2.4 to 2.6m,
Dude those things are designated for shipping, sio kuishi watu..
Bahati mbaya kijijini kwetu hakuna shida ya nyumba,
kijijini kwetu makontena huwa naona watu wanahifadhi vyakula vya mifugo na mbolea na wengine vibanda vya mpesa. Lakini kuishi humo brother Big NO.
 
 
Safi linafaa sana kwenye mambo ya tetemeko.
 
Sio bure kuitwa Shipping container, kazi yake ni kubeba mizigo kwa meli, barabara au reli.
 
Yaonekana nyote hamjasafiri nje ya bara Afrika.
When I was deployed on "operation Iraqi freedom", I first lived in a containerized housing unit.
Those were ,the over 20 fts, types and the walls are well insulated from inside to protect from external climatic conditions


Check out the insulation process from the interior, astro-tuff foam and other materials are used.
For those who are nature conscious, there are more biodegradable, recyclable materials, naturally occurring.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…