Kontena zinavyobadilishwa na kuwa makazi Kenya

Kontena zinavyobadilishwa na kuwa makazi Kenya

Inategemea kijijini kwenu wapo nyuma kiasi gani ndio hadi washangae na kukupima akili kisa wameaona nyumba ya aina ya kontena. Tatizo miafrika kuponda kila ubunifu, mnaishi kwa mazoea, mzungu asingelazimisha kujenga reli na kutupeleka shule, Waafrika tungeishi porini kama sokwe.

Huu ni mfumo mzuri sana ambao unakuwezesha kusafirisha nyumba yako kirahisi.

Casa-Incubo-Container-House.png


Container-Homes-The-Outdoor-Room.jpg


maxresdefault.jpg
Mkuu naomba unisaidie PM contact details za hao wahusika wa hizi project, Hapa Tz hii ndo my co business. Next week nakuja Nirobi nahitaji kuonana nao tushauliane. Currently interiors ajili ya kuzuia joto nazitoa South Africa.
 
Duh, jamaa mna maisha magumu nyie. kwa height na volume ya container halafu all those stuffs zinakuwa fitted,
bongo ukiwa na only $5000-7000 utajenga luxury 2-3 beadrooms , we have enough land, kujeni aisee...
Yaani mk254 unanikaribisha kwako halafu tunaelekea kwenye container,
Mazee give me a break.
Nahisi ww hata kiwanja huna..... Hzo hela unazotaja unajua n kiasi gani kwa Tshs.??? Acha kupotosha watu huwezi jenga luxurious hse for ten or 15 milion otherwise hujui wats a luxurious house.....
 
Watu wanaoponda hiki kitu ni zaidi ya wajinga... Mbona Bongo watu wanatumia sana karibu mikoa yote hii kitu inatumika sasa mtu anaponda wakenya wakati kwao pia ipo kwanza hiyo ya Kenya ni very luxuary kabisa wapo juu kuna office nyingi sana zilikuwa za makontainer na sio office tu hata bar za vilevi na maduka kibao ya container.. How come mtu na akilizake anatukana watu kwa ubunifu wao.... hamjui hata wakimbizi wa Syria wanaishi sehemu walizokimbilia wamekuwa wakiomba kuishi kwenye macontainer kuliko mahema na wazungu wamewajengea poa sana... vitanda double Decker swafi ndani... hata Me Natafuta container niweke kwa kiwanja changu Magu asije akamgaia Bakheresa
Mkuu unajitekenya halafu unacheka mwenyewe..Hatujakataa kubuni matumizi ya hizi containers,
Matumizi kama store, vibanda vya biashara za retail, grocery n.k ni very common hapa bongo, lakini niambie wapi umewahi ona Tz mtu anaishi kwenye these shipping things..

Halafu hapo chini umesema wakimbizi ndio wanaona ni nafuu kuishi kwenye containers kilimo hema
Nadhani umeweka sawa hizi containers watu huishi katika mazingira yapi.
Asante!!
 
Nahisi ww hata kiwanja huna..... Hzo hela unazotaja unajua n kiasi gani kwa Tshs.??? Acha kupotosha watu huwezi jenga luxurious hse for ten or 15 milion otherwise hujui wats a luxurious house.....
Wewe ndio hujui, hiyo pesa ni nyingi sana inategemeana na unajenga wapi, I know what I am saying.
 
Mkuu unajitekenya halafu unacheka mwenyewe..Hatujakataa kubuni matumizi ya hizi containers,
Matumizi kama store, vibanda vya biashara za retail, grocery n.k ni very common hapa bongo, lakini niambie wapi umewahi ona Tz mtu anaishi kwenye these shipping things..

Halafu hapo chini umesema wakimbizi ndio wanaona ni nafuu kuishi kwenye containers kilimo hema
Nadhani umeweka sawa hizi containers watu huishi katika mazingira yapi.
Asante!!
Sijawahi kujitekenya and then nikacheka Pole Sana kama unataka hoja za Matusi nilishaacha kitambo baada ya kugundua ni uwendawazimu kugombana na Maandishi... muhimu ni kupata Elimu tu...

Nadhani wewe sio Mtembezi ndio maana makontainer unayaonea kwenye issue za biashara tu au mtu analo home kwake kalifanya Stoo au kaligeuza Duka...

Zipo Sehemu nyingi sana tembea ujionee yamegeuzwa sehemu za kulala sana Nenda pale Gerezani kwa Mafundi welding watakupeleka hadi sehemu walizoenda kuwatengenezea watu milango na madirisha zikawa sehemu za kulalia..

Pale tu kwenye Avalon zilikuwep Office za hawa jamaa wa Parking System miaka na miaka walikaa pale office juu na chini
Nenda Chinese Garage pale Mwenge kwa Kina Erick Mchina ndio Nyumba zao, Nenda Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere upande wa Kulia ukimaliza fence kama mapakani katizame walivyoweka fresh wanaishi humo vitu vingine sio kuponda tu... na hata kutembea hutembei kujionea
 
Kontena tunatumia kama store room kueka mabati na mpunga. ...fucking design yo talking about
vipi kontainer unazozungumzia wewe hujui thamani yake sababu huna ubunifu... na am sure yako itakuwa sealed.. hata mende akiingia ukafunga door anakufa na kama hajafa basi limeoza chini... msitukane wagunduzi vitu vingi mtumiavyo viligunduliwa na wagunduzi hawakuchekwa ila wangekuwa wamezaliwa Hapo kwenu mngewacheka sana...

Kuna Mama Mmoja alivumbua game inaitwa ''JENGA'' vimbao tu unavipanga kuanzia chini unaongeza tu urefu and then unavichomoa chomoa mwishowe huanguka kama ghorofa ni kama ujinga fulani ulimcost sana money na time maana alitumia muda mrefu sana kuja kuinuka na alikata tamaa sana ila siku ikafika akawa billionaire... so we cheka tu huku kaburi lakungoja
 
Mleta mada, pole kwa kutoka nje ya mada (nyumba ya makontena). Lengo langu lilikuwa kuwafungua umma kuwa nyumba au jengo lolote lile sio lazima liwe ya matofali na simiti ndio libandikwe nyumba.
Space can be controlled and made to suit human needs.
 
Back
Top Bottom