Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu naomba unisaidie PM contact details za hao wahusika wa hizi project, Hapa Tz hii ndo my co business. Next week nakuja Nirobi nahitaji kuonana nao tushauliane. Currently interiors ajili ya kuzuia joto nazitoa South Africa.Inategemea kijijini kwenu wapo nyuma kiasi gani ndio hadi washangae na kukupima akili kisa wameaona nyumba ya aina ya kontena. Tatizo miafrika kuponda kila ubunifu, mnaishi kwa mazoea, mzungu asingelazimisha kujenga reli na kutupeleka shule, Waafrika tungeishi porini kama sokwe.
Huu ni mfumo mzuri sana ambao unakuwezesha kusafirisha nyumba yako kirahisi.
![]()
![]()
![]()
Nahisi ww hata kiwanja huna..... Hzo hela unazotaja unajua n kiasi gani kwa Tshs.??? Acha kupotosha watu huwezi jenga luxurious hse for ten or 15 milion otherwise hujui wats a luxurious house.....Duh, jamaa mna maisha magumu nyie. kwa height na volume ya container halafu all those stuffs zinakuwa fitted,
bongo ukiwa na only $5000-7000 utajenga luxury 2-3 beadrooms , we have enough land, kujeni aisee...
Yaani mk254 unanikaribisha kwako halafu tunaelekea kwenye container,
Mazee give me a break.
Mkuu unajitekenya halafu unacheka mwenyewe..Hatujakataa kubuni matumizi ya hizi containers,Watu wanaoponda hiki kitu ni zaidi ya wajinga... Mbona Bongo watu wanatumia sana karibu mikoa yote hii kitu inatumika sasa mtu anaponda wakenya wakati kwao pia ipo kwanza hiyo ya Kenya ni very luxuary kabisa wapo juu kuna office nyingi sana zilikuwa za makontainer na sio office tu hata bar za vilevi na maduka kibao ya container.. How come mtu na akilizake anatukana watu kwa ubunifu wao.... hamjui hata wakimbizi wa Syria wanaishi sehemu walizokimbilia wamekuwa wakiomba kuishi kwenye macontainer kuliko mahema na wazungu wamewajengea poa sana... vitanda double Decker swafi ndani... hata Me Natafuta container niweke kwa kiwanja changu Magu asije akamgaia Bakheresa
Wewe ndio hujui, hiyo pesa ni nyingi sana inategemeana na unajenga wapi, I know what I am saying.Nahisi ww hata kiwanja huna..... Hzo hela unazotaja unajua n kiasi gani kwa Tshs.??? Acha kupotosha watu huwezi jenga luxurious hse for ten or 15 milion otherwise hujui wats a luxurious house.....
Sijawahi kujitekenya and then nikacheka Pole Sana kama unataka hoja za Matusi nilishaacha kitambo baada ya kugundua ni uwendawazimu kugombana na Maandishi... muhimu ni kupata Elimu tu...Mkuu unajitekenya halafu unacheka mwenyewe..Hatujakataa kubuni matumizi ya hizi containers,
Matumizi kama store, vibanda vya biashara za retail, grocery n.k ni very common hapa bongo, lakini niambie wapi umewahi ona Tz mtu anaishi kwenye these shipping things..
Halafu hapo chini umesema wakimbizi ndio wanaona ni nafuu kuishi kwenye containers kilimo hema
Nadhani umeweka sawa hizi containers watu huishi katika mazingira yapi.
Asante!!
vipi kontainer unazozungumzia wewe hujui thamani yake sababu huna ubunifu... na am sure yako itakuwa sealed.. hata mende akiingia ukafunga door anakufa na kama hajafa basi limeoza chini... msitukane wagunduzi vitu vingi mtumiavyo viligunduliwa na wagunduzi hawakuchekwa ila wangekuwa wamezaliwa Hapo kwenu mngewacheka sana...Kontena tunatumia kama store room kueka mabati na mpunga. ...fucking design yo talking about




















Leo unapewa 10-nil na ur compatriots ili u grow upWewe ndio hujui, hiyo pesa ni nyingi sana inategemeana na unajenga wapi, I know what I am saying.
Leo unapewa 10-nil na ur compatriots ili u grow up