Chai ya saa kumi
Senior Member
- Jul 12, 2023
- 141
- 180
Nimekunywa Konyagi this morning natokwa na jasho balaa. Nahisi nishapoteza maji kama lita 10 mpaka sasa hivi. Au itakua konyagi pori hii, mbona za zamani hazikuwa hivi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngiri maji ndio nini mkuu?Kazana kunywa kila siku asubuhi. Ukiwa na ngiri maji kwa jasho hilo lazima iishe
Busha mkuuNgiri maji
Ngiri maji ndio nini mkuu?
Au haupo Tz wewe mbona usijue ngirimaji ni nini.Ngiri maji
Ngiri maji ndio nini mkuu?
Elewa maelezo niliyompa mkuu. Nimesema kwa jasho hilo hata busha linaweza kukaukaBusha na nyagi wapi na wapi.... ile naskia ni mbu wa aedes au uchukue mke yta ntu wa-deal na wewe indigenously?
Nipo Tanganyika Masagati huku mwisho wa nchi.....konyagi yenye seal wanauza 5K isiyo na seal (Konyagi pori) ni jero tu...karibu tulime mpunga mkuuAu haupo Tz wewe mbona usijue ngirimaji ni nini.
Balaa sana...Jumatano ya pasaka leoElewa maelezo niliyompa mkuu. Nimesema kwa jasho hilo hata busha linaweza kukauka
Kuna supu ya mapupu na makwasukwasu....unaijua hiyo?Angalia usije zima.
Pombe inahitaji chakula ungepata supu kwanza.
Supu mchuzi chini nyama juu. Hatari na nusu bosiKuna supu ya mapupu na makwasukwasu....unaijua hiyo?
😀
Asa kumbe nn 😂Piga nyagi, piga nyagi kijana....
Hii unafarikiUkiichanganya na dompo inakata jasho