Konyagi na kutoka jasho

Konyagi na kutoka jasho

Me siwezi kuinywa Tena nishakomaa!!

Niliinywa kipindi fulani dah! Ilikuwa game ya yanga na Simba nilisugua benchi weee!! Sugua bench dadeki lakin wapi!

Sikuwaona wazungu uwanjani. Niliamka asubuh mkono inauma hatariiii....!!!!
 
Wewe ni chai ya asubuhi.Konyagi ya nini tena?Mvuke wa spirit(spritual healing)umekuingia kwenye mifumo yako yote mwilini i.e ya damu,mmeng'enyo,hewa nk.Mifumo imepata mshtuko na kujawa na hofu hadi matezi yamehiyari kutoa jasho.Wake up call hiyo.Nenda polepole.Pombe siyo chai.Na hakuna bingwa wa kubugia pombe.
Mi chai ya jioni mkuu...nahisi nimeuziwa konyagi pori hii
 
Kuna supu ya mapupu na makwasukwasu....unaijua hiyo?
😀
chapati_beans_soup.jpg

Nipo vijijini huku ndani sana kabla sijaanza pombe za kienyeji nakunywa chai heavy.
 
Back
Top Bottom