Konyagi na kutoka jasho

Me siwezi kuinywa Tena nishakomaa!!

Niliinywa kipindi fulani dah! Ilikuwa game ya yanga na Simba nilisugua benchi weee!! Sugua bench dadeki lakin wapi!

Sikuwaona wazungu uwanjani. Niliamka asubuh mkono inauma hatariiii....!!!!
 
Mi chai ya jioni mkuu...nahisi nimeuziwa konyagi pori hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…