Konyagi Vs Valeur nini kiboko kunako game?

Konyagi Vs Valeur nini kiboko kunako game?

Eeka Mangi

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2008
Posts
3,173
Reaction score
482
Jamani eee nauliza kati ya ze konyagi na ze valuer ni ipi yenye kuwapa tafu kunako game za baada ya watoto kulala?
 
Belinda mbona umedelite msg yako bana?....leta uzoefu...wapi asprin?
 
Du haya. Mkuu Fidel na Belinda vipi? Uzoefu jamani?
 
Mchanganyiko wa nyagi, valuu na grants.
 
JF home of Great Thinkers, y'all needs to find a HOBBY.
 
Jamani eee nauliza kati ya ze konyagi na ze valuer ni ipi yenye kuwapa tafu kunako game za baada ya watoto kulala?

Valeur ni noma, na uzuri wake haina shombo.

Ukipiga hata kiroba tu unaskia 'sauti ya baba' huku chini
 
mnakosea yote cha mtoto,piga safari na kiroba iyo baba komesha

Hii mambo inategemea na damu ya m2. na pia amount consumed. Mfano mimi nikipiga Tusker Game Nakua weak sana. Ila kuna jamaa aliniambia akipiga Tusker siku hiyo akipanda kwenye game, Hashuki mpaka Liamba.
Sana sana niseme haya mambo ni perception Tu.
Manjonjo ya mwanamke pia yanachangia.
But hii ya Kiroba na safari nayo imo!!!
 
ni kweli kabisa, wengine a glass of wine inatosha kabisa ila Tusker naweza kesha hadi mng bila kulala (usingizi unapotea kabisa)
 
hakuna hata kimoja hapo ila ni afya na lishe yako tu.. pia jist gani unaweka ubongo wako kwenye game...

fanya mazoezi kule vyakula vyenye protein.. the goot state of mind... unapiga game mbaya..

halafu kupiga muda mrefu siyo ubabe bali kuridhishana ndiyo cha maana...
 
Regency :becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky:
 
Ni nguvu za mhusika na manjonjo ya mtu, hakuna cha valeur wala konyagi
 
mmh machozi ya simba baba!!!!!!!!!!!!!
utakuwa imara km simba haitalala .na km ulimchukua dadapoa nakwambia atadai chenj yake........
 
Back
Top Bottom