Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 482
Jamani eee nauliza kati ya ze konyagi na ze valuer ni ipi yenye kuwapa tafu kunako game za baada ya watoto kulala?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fidel uko wapi?
Mpwa nipo Chuda huku nimefungiwa
Jamani eee nauliza kati ya ze konyagi na ze valuer ni ipi yenye kuwapa tafu kunako game za baada ya watoto kulala?
Valuer+Pepsi wapi Asprin,Teamo,Beauty
mnakosea yote cha mtoto,piga safari na kiroba iyo baba komesha
ni kweli kabisa, wengine a glass of wine inatosha kabisa ila Tusker naweza kesha hadi mng bila kulala (usingizi unapotea kabisa)Hii mambo inategemea na damu ya m2. na pia amount consumed. Mfano mimi nikipiga Tusker Game Nakua weak sana. Ila kuna jamaa aliniambia akipiga Tusker siku hiyo akipanda kwenye game, Hashuki mpaka Liamba.
Sana sana niseme haya mambo ni perception Tu.
Manjonjo ya mwanamke pia yanachangia.
But hii ya Kiroba na safari nayo imo!!!