Blackninja
JF-Expert Member
- Aug 26, 2018
- 378
- 313
Bado wananipa dawa tuuVipimo vya hospital vinasemaje au haujaenda?
Ushaenda pale oshenroad kucheki?
Nenda hospital kubwa kwa ushauri zaidi ukacheki hizo miti shamba ukishauriwa usitumie kwanza hadi ujue shida ni nini kwanzaHapana nipo mkoan
1.umeenda hospitali zipi na vipimo hani umepima mpaka sasa?Maumivu haya yamedumu toka mwaka Jana mwezi wa 7 nimeshatumia dawa nyingi lakini bado cjapona
...naomba msaada wa kimawazo wakuu
Nitafute nipate kukutibia upate kupona.Maumivu haya yamedumu toka mwaka Jana mwezi wa 7 nimeshatumia dawa nyingi lakini bado cjapona
...naomba msaada wa kimawazo wakuu
Asante mkuuPole
Nenda hospital kubwa kwa ushauri zaidi ukacheki hizo miti shamba ukishauriwa usitumie kwanza hadi ujue shida ni nini kwanza
Ndio najipanga niende kwenye hospital kubwa lakini kipimo kikubwa nilichopima ni cha thyroid function1.umeenda hospitali zipi na vipimo hani umepima mpaka sasa?
2. Majibu ya hivyo vipimo yalikuwaje?
3. koo linauma muda gani au ukifanya nini?
4. dawa gani umetumia mpaka sasa, na je zilileta hata nafuu au kupona kwa muda?
5.
Sent using Jamii Forums mobile app
basi nenda kapime kwanzaNdio najipanga niende kwenye hospital kubwa lakini kipimo kikubwa nilichopima ni cha thyroid function
Ahsant kwa ushaur
Mkuu Koo linakutesa kiaje maana hujasema ni jinsi Gani linakutesaMaumivu haya yamedumu toka mwaka Jana mwezi wa 7 nimeshatumia dawa nyingi lakini bado cjapona
...naomba msaada wa kimawazo wakuu
Sijui amejichimbia wapi? anaulizwa hajibuJana Umetumia Vyakula/Vinywaji Gani Tuanzie Hapo Kwanza