Koo linaniteasa

Koo linaniteasa

Blackninja

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2018
Posts
378
Reaction score
313
Maumivu haya yamedumu toka mwaka Jana mwezi wa 7 nimeshatumia dawa nyingi lakini bado cjapona
...naomba msaada wa kimawazo wakuu
 
Maumivu haya yamedumu toka mwaka Jana mwezi wa 7 nimeshatumia dawa nyingi lakini bado cjapona
...naomba msaada wa kimawazo wakuu
1.umeenda hospitali zipi na vipimo hani umepima mpaka sasa?
2. Majibu ya hivyo vipimo yalikuwaje?
3. koo linauma muda gani au ukifanya nini?
4. dawa gani umetumia mpaka sasa, na je zilileta hata nafuu au kupona kwa muda?
5.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maumivu haya yamedumu toka mwaka Jana mwezi wa 7 nimeshatumia dawa nyingi lakini bado cjapona
...naomba msaada wa kimawazo wakuu
Nitafute nipate kukutibia upate kupona.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili Herbalist mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Herbalist MziziMkavu
 
1.umeenda hospitali zipi na vipimo hani umepima mpaka sasa?
2. Majibu ya hivyo vipimo yalikuwaje?
3. koo linauma muda gani au ukifanya nini?
4. dawa gani umetumia mpaka sasa, na je zilileta hata nafuu au kupona kwa muda?
5.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio najipanga niende kwenye hospital kubwa lakini kipimo kikubwa nilichopima ni cha thyroid function
 
Maumivu haya yamedumu toka mwaka Jana mwezi wa 7 nimeshatumia dawa nyingi lakini bado cjapona
...naomba msaada wa kimawazo wakuu
Mkuu Koo linakutesa kiaje maana hujasema ni jinsi Gani linakutesa

Alafu una umri Gani? Je unavuta sigara au unatumia kilevi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom