Blackninja
JF-Expert Member
- Aug 26, 2018
- 378
- 313
- Thread starter
-
- #61
Nashkur mkuuu ngoja niende kesho nikaonane naoMkuu nenda Hosp ya mkoa wa iringa Onana Na watu wa ENT watakusaidia japo naona umekuwa muoga sana lakini Nina hakika huo Ni uvimbe wa kawaida tu tena upo nje Na Wala sio ndani ya Koo kama ambavyo unadhani hata iyo shindwa meza Ni sababu tu ya huo uvimbe ambao na hakika utaisha tu fasta bada ya kupewa dawa
Punguza uzembe kidogo muda huo wote mzee ulikuwa hujaenda Hosp?Ni
Tangu mwezi wa 9 lkn ulikuw hauumi umeanza kuuma mwezi wa 11
Vp mkuu pale wanafanya upasuajiMkuu kama upo Dar nenda pale magomeni EKENYWA HOSPITAL ipo kwa sheikh yahya ndo kuna specialist wa kichwa kizima
Walikuwa wananipa antibiotic tuu mkuu sio uzembePunguza uzembe kidogo muda huo wote mzee ulikuwa hujaenda Hosp?
Ila usipanic mkuu Ni vitu vya kawaida tu nenda Hosp ukachekiwe ikiwezekana watoe sample wapime Ni nini shida lakini usiache kwende maana mpaka pamevimba Ni kwamba mwili unajitengenezea kinga kuna kitu kina shambulia ivo yaweza kuwa Ni infection tu au kuna tatizo lingine lakini hakuna cancer apo amini maneno haya nakuambiaNash
Nashkur mkuuu ngoja niende kesho nikaonane nao
Yap wanafanya ekenywa ndo best ENT clinic kwa Sasa(sio tangazo la biashara) Nina sema hivo sababu nimeenda muhimbili Na ekenywa pia kwa kweli ekenywa is the bestVp mkuu pale wanafanya upasuaji
Duh Ni dispensary au Hosp iyo?Walikuwa wananipa antibiotic tuu mkuu sio uzembe
Asante mkuuu an naogopa sana Kansa anIla usipanic mkuu Ni vitu vya kawaida tu nenda Hosp ukachekiwe ikiwezekana watoe sample wapime Ni nini shida lakini usiache kwende maana mpaka pamevimba Ni kwamba mwili unajitengenezea kinga kuna kitu kina shambulia ivo yaweza kuwa Ni infection tu au kuna tatizo lingine lakini hakuna cancer apo amini maneno haya nakuambia
Hakuna mkuu kuwa Na amani tuAAsante mkuuu an naogopa sana Kansa an
Hospital ya wilaya mkuu mufindi Leo ndo nimekuja mkoan nategemea kesho nionane naoDuh Ni dispensary au Hosp iyo?
Kesho ntaleta mrejeshoHakuna mkuu kuwa Na amani tu
Dah ila Hosp zetu Ni janga lingine Yan jamaa hawako fasta kabisa kwanini wasingekuisha mapema kuliko enda Hosp miez karbu mitatu unapewa antibiotics tu aseh hii Ni hatari Yan ndani ya mda wote huo haujapata nafuu bado wanakomaa ningechapa viboko hao madaktariHospital ya wilaya mkuu mufindi Leo ndo nimekuja mkoan nategemea kesho nionane nao
Wanapokea bima mkuu kwani unatumia bima ganiWanachukua bima au ni cash
NhifWanapokea bima mkuu kwani unatumia bima gani
Bila Shaka wanapokea nakutakia kila la kheri chief apo ukiona unapewa tena hadithi zisizo na naama omba tu transfer uende muhimbili au ekenywa mana hizi Hosp zetu muda mwingine hovyo kabisaNhi
Nhif
NdioVp mkuu pale wanafanya upasuaji
Sawa mkuu nitaleta mrejeshoBila Shaka wanapokea nakutakia kila la kheri chief apo ukiona unapewa tena hadithi zisizo na naama omba tu transfer uende muhimbili au ekenywa mana hizi Hosp zetu muda mwingine hovyo kabisa
Nasubiri chiefSawa mkuu nitaleta mrejesho