Koo linaniteasa

Koo linaniteasa

Nash
Mkuu nenda Hosp ya mkoa wa iringa Onana Na watu wa ENT watakusaidia japo naona umekuwa muoga sana lakini Nina hakika huo Ni uvimbe wa kawaida tu tena upo nje Na Wala sio ndani ya Koo kama ambavyo unadhani hata iyo shindwa meza Ni sababu tu ya huo uvimbe ambao na hakika utaisha tu fasta bada ya kupewa dawa
Nashkur mkuuu ngoja niende kesho nikaonane nao
 
Nash
Nashkur mkuuu ngoja niende kesho nikaonane nao
Ila usipanic mkuu Ni vitu vya kawaida tu nenda Hosp ukachekiwe ikiwezekana watoe sample wapime Ni nini shida lakini usiache kwende maana mpaka pamevimba Ni kwamba mwili unajitengenezea kinga kuna kitu kina shambulia ivo yaweza kuwa Ni infection tu au kuna tatizo lingine lakini hakuna cancer apo amini maneno haya nakuambia
 
Vp mkuu pale wanafanya upasuaji
Yap wanafanya ekenywa ndo best ENT clinic kwa Sasa(sio tangazo la biashara) Nina sema hivo sababu nimeenda muhimbili Na ekenywa pia kwa kweli ekenywa is the best
 
A
Ila usipanic mkuu Ni vitu vya kawaida tu nenda Hosp ukachekiwe ikiwezekana watoe sample wapime Ni nini shida lakini usiache kwende maana mpaka pamevimba Ni kwamba mwili unajitengenezea kinga kuna kitu kina shambulia ivo yaweza kuwa Ni infection tu au kuna tatizo lingine lakini hakuna cancer apo amini maneno haya nakuambia
Asante mkuuu an naogopa sana Kansa an
 
Hospital ya wilaya mkuu mufindi Leo ndo nimekuja mkoan nategemea kesho nionane nao
Dah ila Hosp zetu Ni janga lingine Yan jamaa hawako fasta kabisa kwanini wasingekuisha mapema kuliko enda Hosp miez karbu mitatu unapewa antibiotics tu aseh hii Ni hatari Yan ndani ya mda wote huo haujapata nafuu bado wanakomaa ningechapa viboko hao madaktari
 
Bila Shaka wanapokea nakutakia kila la kheri chief apo ukiona unapewa tena hadithi zisizo na naama omba tu transfer uende muhimbili au ekenywa mana hizi Hosp zetu muda mwingine hovyo kabisa
 
Bila Shaka wanapokea nakutakia kila la kheri chief apo ukiona unapewa tena hadithi zisizo na naama omba tu transfer uende muhimbili au ekenywa mana hizi Hosp zetu muda mwingine hovyo kabisa
Sawa mkuu nitaleta mrejesho
 
Nenda ekenywa ,magomeni dar-es-salaam.nimewahi kutibiwa hapo,usichelewe wahi mapema,isijegeuka saratani.
 
Back
Top Bottom