Koplo mstaafu abubujikwa na furaha kukutana na Rais Samia. Ampa fimbo maalum Rais kwa ajili ya kuchapia wapinzani!

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakati anahutubia wananchi huko Rwinga, wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, Rais Samia alimpa nafasi ya kuzungumza Koplo mstaafu ambaye alionekana kuwa ni mzee mtu mzima.

Mzee huyo kutokana na mapenzi yake kwa Rais Samia, alimpa Samia fimbo ambayo kwa mujibu wake itamsaidia kuchapa wapinzani, kuepuka hasidi na chuki kutoka kwa watesi wake na kuifananisha fimbo hiyo na ile ya Mwalimu Nyerere.

Kwa hii video ilivyokaa itoshe kusema kuwa hii nchi ina safari ndefu sana na itachukua miaka mingine 1000 kuitoa CCM madarakani

Your browser is not able to display this video.
 
Hakuna koplo hapo huyo amechanganyikiwa tu.Hao makoplo washamba.
 
Hii nayo ni habari ndiyo maana tv zinazojitambua haziripoti upuuzi kama huu
 
.... "Kwamba tembea na fimbo hii popote, ipunge hewani tu, hakuna atayekugusa"..... ! Mzee huyo anamaana gani?
 
uh
 
Hata wapumbavu wanazeeka. Unashangaa nini..

Vijana wapumbavu waliokalia simba na yanga watakuwa wazee waajabu siku za usoni.

CCm wengi ni washirikina mawazo yao yapo kimugando sana. Huwezi kuwa na akili timamu ukazui upinzani mtu anayekukosoa ni mzuri sana.

Ccm wanapenda machawa.. unategemea nini hapo.
 
Kashindwa uongozi sasa wameanza maigizo mara vifimbo.

Mwenzie alikuwa anakunywa kahawa, mara kupewa zawadi ya jogoo .
 
Kama alifanya kazi Polisi akastaafu na Cheo cha Koplo(V2) basi huyo ni kilaza kama vilaza wengine,miaka yote afanye kazi astaafu na U-Koplo duuh,la Saba B huyo
 
 
Kashindwa uongozi sasa wameanza maigizo mara vifimbo.

Mwenzie alikuwa anakunywa kahawa, mara kupewa zawadi ya jogoo .
Lilikuwa ni jini kwa mujibu wa jamaa yangu Mmachinga niliyefahamiana nae hapa jijini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yaani aibu naona mimi πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…