Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakati anahutubia wananchi huko Rwinga, wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, Rais Samia alimpa nafasi ya kuzungumza Koplo mstaafu ambaye alionekana kuwa ni mzee mtu mzima.
Mzee huyo kutokana na mapenzi yake kwa Rais Samia, alimpa Samia fimbo ambayo kwa mujibu wake itamsaidia kuchapa wapinzani, kuepuka hasidi na chuki kutoka kwa watesi wake na kuifananisha fimbo hiyo na ile ya Mwalimu Nyerere.
Kwa hii video ilivyokaa itoshe kusema kuwa hii nchi ina safari ndefu sana na itachukua miaka mingine 1000 kuitoa CCM madarakani