Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Kweli katoweka kwenye rada.Tokea apone na scandal ya sukari, haonekani kujivuna-vuna tena mzee wa kujifanya yupo makini.
Bashe, hivi sasa ni nadra mno kumuona hata kwenye taarifa za Vyombo vya habari akifanya maonyesho yasiyo na mbele wala nyuma.
Kimya!Kweli katoweka kwenye rada.
Hana lolote yule ni fisadi kama mafisadi wengine.Ana jambo lake, anajitafakari kwanza.. mpeni muda😄
Tatizo fisadi.Siasa za kujificha zinalipa asije tumbuliwa
Kafisadi nini?Hana lolote yule ni fisadi kama mafisadi wengine.
Mbona yupo sana, sema wewe ndio humuoni.Tokea apone na scandal ya sukari, haonekani kujivuna-vuna tena mzee wa kujifanya yupo makini.
Bashe, hivi sasa ni nadra mno kumuona hata kwenye taarifa za Vyombo vya habari akifanya maonyesho yasiyo na mbele wala nyuma.
Hali mbaya tokea wapi wakati Nchimbi right man wake ni Bashe. So far timu Lowassa wanatembea kifua mbele kila kona.Anaugulia maumivu timu yake kwenye serikali ya mama na ndani chama ina hali mbaya sana .
Na bado hawa ni wa kuandamwa. Na hivi mama kapoka uteuzi wanamapinduzi kuna kazi kubwa kuwaandama hawa wezi wa umma wanaompandikiza uongozi kihuni mama.Kweli katoweka kwenye rada.
mzee wa ngonjera za kilimo mara mifuggo mambo kibao,Tokea apone na scandal ya sukari, haonekani kujivuna-vuna tena mzee wa kujifanya yupo makini.
Bashe, hivi sasa ni nadra mno kumuona hata kwenye taarifa za Vyombo vya habari akifanya maonyesho yasiyo na mbele wala nyuma.