Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fix Tele Tele, Wananchi Hata Mbegu HawanaHana lolote yule ni fisadi kama mafisadi wengine.
bashe sio waziri wa kujionesha,huyo ni waziri mbunifu,active na very seriousTokea apone na scandal ya sukari, haonekani kujivuna-vuna tena mzee wa kujifanya yupo makini.
Bashe, hivi sasa ni nadra mno kumuona hata kwenye taarifa za Vyombo vya habari akifanya maonyesho yasiyo na mbele wala nyuma.
Siyo huyo tuu kuna yule wa Ukizingua tunazinguanaTokea apone na scandal ya sukari, haonekani kujivuna-vuna tena mzee wa kujifanya yupo makini.
Bashe, hivi sasa ni nadra mno kumuona hata kwenye taarifa za Vyombo vya habari akifanya maonyesho yasiyo na mbele wala nyuma.
Mara wenye maduka ya pembejeo wawajiri waliosoma kilimo SUA AU DIPLOMA kisa wao wameshindwa kuajili maafsa ugani ana lopoka lopoka hovyo tu na kusema wizara yangu kma yye amejimilikishamzee wa ngonjera za kilimo mara mifuggo mambo kibao,
Tutakukataliaje ilhali huenda upo kwenye mrija wake, penginebashe sio waziri wa kujionesha,huyo ni waziri mbunifu,active na very serious
nyanawe gete unyanda ng'unuyu yuMara wenye maduka ya pembejeo wawajiri waliosoma kilimo SUA AU DIPLOMA kisa wao wameshindwa kuajili maafsa ugani ana lopoka lopoka hovyo tu na kusema wizara yangu kma yye amejimilikisha
Hutembelei ukurasa za mitandao wewe mbuzi ,juzi tuu hapo katangaza uwepo wa Mkutano wa wadau wa kuuza Kahawa Afrika utafanyika Tanzania harafu unajisemesha mambo usiyoyajua 👇👇Tokea apone na scandal ya sukari, haonekani kujivuna-vuna tena mzee wa kujifanya yupo makini.
Bashe, hivi sasa ni nadra mno kumuona hata kwenye taarifa za Vyombo vya habari akifanya maonyesho yasiyo na mbele wala nyuma.
Tembeleeni mitandao Waziri Bashe atoweke aende wapi labda? 👇👇Kweli katoweka kwenye rada.
Hiih, mmmh ! Kumbukumbu zinaitikia iiiih !Hata CCM Ndugu Zangu Majizi Yapo
Nasema Uongo Ndugu Zangu
By Mzilankende, Chuma, Jiwe, Baba Jesca, Hii Bhaghosha
Koleza maandishi kwa red colour........MSANII