Kopotelea wapi Waziri wa kujionyesha bwana Bashe?

Bashe alijichanganya kwa mabwanyenye wa TCA akapewa za kichwa sasa hivi anapumulia oxygen.
 
Tokea apone na scandal ya sukari, haonekani kujivuna-vuna tena mzee wa kujifanya yupo makini.

Bashe, hivi sasa ni nadra mno kumuona hata kwenye taarifa za Vyombo vya habari akifanya maonyesho yasiyo na mbele wala nyuma.
bashe sio waziri wa kujionesha,huyo ni waziri mbunifu,active na very serious
 
Tokea apone na scandal ya sukari, haonekani kujivuna-vuna tena mzee wa kujifanya yupo makini.

Bashe, hivi sasa ni nadra mno kumuona hata kwenye taarifa za Vyombo vya habari akifanya maonyesho yasiyo na mbele wala nyuma.
Siyo huyo tuu kuna yule wa Ukizingua tunazinguana
 
Yupo ana kula pesa za failed project ya BBT
 
Mara wenye maduka ya pembejeo wawajiri waliosoma kilimo SUA AU DIPLOMA kisa wao wameshindwa kuajili maafsa ugani ana lopoka lopoka hovyo tu na kusema wizara yangu kma yye amejimilikisha
nyanawe gete unyanda ng'unuyu yu
 
Tokea apone na scandal ya sukari, haonekani kujivuna-vuna tena mzee wa kujifanya yupo makini.

Bashe, hivi sasa ni nadra mno kumuona hata kwenye taarifa za Vyombo vya habari akifanya maonyesho yasiyo na mbele wala nyuma.
Hutembelei ukurasa za mitandao wewe mbuzi ,juzi tuu hapo katangaza uwepo wa Mkutano wa wadau wa kuuza Kahawa Afrika utafanyika Tanzania harafu unajisemesha mambo usiyoyajua πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://x.com/HusseinBashe/status/1881253029682327955?t=f0ZZQ7z-NpW2yuVshEritQ&s=19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…