TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Hahahaha!! kama nawaona std.7 wanavyokuangaliaHabari wadau..!
Tanzania bado tnaishi zama za 3K's yaani Kusoma Kuandika na Kuhesabu wakati dunia ishapita huko hata Tanzania tushapita huko.Ila hii katiba yetu bado ipo zama za 3K 's .
Nchi sasa imekuwa na wasomi wengi lazima tukubali ,hivyo lazima tubadilishw hata baadhi ya vipengere wakati mbunge Msukuma anaomba mfumo wa elimu ubadilishwe pia na sisi tunaomba kipengere cha sifa ya mtu kugombea ubunge kibadilishwe hiwe lazima hawe degree order.
Korea wao mtu kama hana degree hawezi kupata mke sisi huku darasa la saba mbunge wakati wasomi wapo wengi .ππππ
Thibitisha kwamba ni uongo?Bongo tu hii kama binti amesoma mpk chuo kikuu mahali yake unaweza ukapigwa parefu kama haujakaa vizuri.Uwongo
Na hao wa laki nne ndio wake bora!Thibitisha kwamba ni uongo?Bongo tu hii kama binti amesoma mpk chuo kikuu mahali yake unaweza ukapigwa parefu kama haujakaa vizuri.
Kuna wazazi wanasema watoto wao wamewasomesha mpaka chuo harafu ww ndio ukanufaike na matunda ya elimu yao hapo lazima mahali ianzie 5M baba, chunguza utagundua kuna watu mahali zinaanzia 5M wakati kuna watu mahali 400k hawa ndio form 4 na STD 7 .
Dudu angepiga sababu ana helaNa assume msukuma ni mkorea, angekuwa anakidumu kimejaa kwa kukosa fursa ya kupiga dudu
Achana na degree hata F4 tu inatosha kabisa mtu anakuwa anauelewa kidogoHabari wadau..!
Tanzania bado tnaishi zama za 3K's yaani Kusoma Kuandika na Kuhesabu wakati dunia ishapita huko hata Tanzania tushapita huko.Ila hii katiba yetu bado ipo zama za 3K 's .
Nchi sasa imekuwa na wasomi wengi lazima tukubali ,hivyo lazima tubadilishw hata baadhi ya vipengere wakati mbunge Msukuma anaomba mfumo wa elimu ubadilishwe pia na sisi tunaomba kipengere cha sifa ya mtu kugombea ubunge kibadilishwe hiwe lazima hawe degree order.
Korea wao mtu kama hana degree hawezi kupata mke sisi huku darasa la saba mbunge wakati wasomi wapo wengi .ππππ
Nchi sasa imekuwa na wasomi wengi lazima tukubali ,hivyo lazima tubadilishw hata baadhi ya vipengere wakati mbunge Msukuma anaomba mfumo wa elimu ubadilishwe pia na sisi tunaomba kipengere cha sifa ya mtu kugombea ubunge kibadilishwe hiwe lazima hawe degree order.
Na assume msukuma ni mkorea, angekuwa anakidumu kimejaa kwa kukosa fursa ya kupiga dudu
Wazo ni wazo. Ila, unafanyaje pale wasomi hao hawagombei huo ubunge? Walazimishwe au nini kifanyike?Habari wadau..!