Korea kama hauna degree haupewi mke, Ifike mahala kama hauna degree usigombee ubunge

Korea kama hauna degree haupewi mke, Ifike mahala kama hauna degree usigombee ubunge

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2018
Posts
2,490
Reaction score
3,584
Habari wadau..!
Tanzania bado tnaishi zama za 3K's yaani Kusoma Kuandika na Kuhesabu wakati dunia ishapita huko hata Tanzania tushapita huko.Ila hii katiba yetu bado ipo zama za 3K 's .

Nchi sasa imekuwa na wasomi wengi lazima tukubali ,hivyo lazima tubadilishw hata baadhi ya vipengere wakati mbunge Msukuma anaomba mfumo wa elimu ubadilishwe pia na sisi tunaomba kipengere cha sifa ya mtu kugombea ubunge kibadilishwe hiwe lazima hawe degree holder.

Korea wao mtu kama hana degree hawezi kupata mke sisi huku darasa la saba m bunge wakati wasomi wapo wengi .😂😂😂😂
 
Habari wadau..!
Tanzania bado tnaishi zama za 3K's yaani Kusoma Kuandika na Kuhesabu wakati dunia ishapita huko hata Tanzania tushapita huko.Ila hii katiba yetu bado ipo zama za 3K 's .

Nchi sasa imekuwa na wasomi wengi lazima tukubali ,hivyo lazima tubadilishw hata baadhi ya vipengere wakati mbunge Msukuma anaomba mfumo wa elimu ubadilishwe pia na sisi tunaomba kipengere cha sifa ya mtu kugombea ubunge kibadilishwe hiwe lazima hawe degree order.

Korea wao mtu kama hana degree hawezi kupata mke sisi huku darasa la saba mbunge wakati wasomi wapo wengi .😂😂😂😂
Hahahaha!! kama nawaona std.7 wanavyokuangalia
 
Degree is useless, character is everything.... character makes a person, kama unafikiri ni rahis hivyo nenda na wewe kagombee.. shida ni hawa alfa ulela wa CCM wasiojua chochote na waliteuliwa ba mwendazake kwa mkono wa chuma...
 
Thibitisha kwamba ni uongo?Bongo tu hii kama binti amesoma mpk chuo kikuu mahali yake unaweza ukapigwa parefu kama haujakaa vizuri.

Kuna wazazi wanasema watoto wao wamewasomesha mpaka chuo harafu ww ndio ukanufaike na matunda ya elimu yao hapo lazima mahali ianzie 5M baba, chunguza utagundua kuna watu mahali zinaanzia 5M wakati kuna watu mahali 400k hawa ndio form 4 na STD 7 .

Nimeoa degree ya miaka 3 walitaka kunipiga 5M kisa binti ana degree ,nikagundua tatizo ni degree ikabidi niwaambie kimafumbo kwamba nilikaa miaka minne kupata degree moja ,yaani kama mkeka nikawa nimeweka GG wakaogopa ikabidi tu negotiate ikabidi wife ndio hawe final katika maamuzi maana ilikuwa kesi kubwa.
 
Thibitisha kwamba ni uongo?Bongo tu hii kama binti amesoma mpk chuo kikuu mahali yake unaweza ukapigwa parefu kama haujakaa vizuri.

Kuna wazazi wanasema watoto wao wamewasomesha mpaka chuo harafu ww ndio ukanufaike na matunda ya elimu yao hapo lazima mahali ianzie 5M baba, chunguza utagundua kuna watu mahali zinaanzia 5M wakati kuna watu mahali 400k hawa ndio form 4 na STD 7 .
Na hao wa laki nne ndio wake bora!

Hao wa milioni 5 unaweza kuishia kulia
 
Habari wadau..!
Tanzania bado tnaishi zama za 3K's yaani Kusoma Kuandika na Kuhesabu wakati dunia ishapita huko hata Tanzania tushapita huko.Ila hii katiba yetu bado ipo zama za 3K 's .

Nchi sasa imekuwa na wasomi wengi lazima tukubali ,hivyo lazima tubadilishw hata baadhi ya vipengere wakati mbunge Msukuma anaomba mfumo wa elimu ubadilishwe pia na sisi tunaomba kipengere cha sifa ya mtu kugombea ubunge kibadilishwe hiwe lazima hawe degree order.

Korea wao mtu kama hana degree hawezi kupata mke sisi huku darasa la saba mbunge wakati wasomi wapo wengi .😂😂😂😂
Achana na degree hata F4 tu inatosha kabisa mtu anakuwa anauelewa kidogo
 
Kwani mbunge anawakilisha wenye degree pekee, mbunge ni mwakilishi wa wananchi wote jimboni. Kama wa darasa la saba anaweza kuwasemea vizuri changamoto zao huko mjengoni ni hakika atapata kibali kwao. Kwa maana nyingine wananchi ndo wanaamua kwamba tumpe huyu mwenye degree au wa la saba. Sasa wewe na degree yako kama umeshindwa kujenga hoja kwa wananchi uchaguliwe na akachaguliwa yule wa darasa la saba elewa kwamba hiyo degree yako haina maana linapokuja swala la uwakilishi wa wananchi mjengoni.
 
Wakenya tayari wameshaanza hilo la mbunge lazima awe na degree.
 
Kama kuna ukwel flan hiv lakin kwa hapa bongo napata ukakasi kidogo maana ata wabunge wetu wenye elimu kubwa bunge niwashangiliaji ata kwenye vitu vya kipuuzi hawajiamini, hawana moyo wa uthubutu kukosoa kiongozi wao anapokosea, sifa za kijinga nyingi mfano kigwa, ndugulile(tena bora huyu alijaribu kukosoa mkuu wake) na wengne wengi.

Cha kwanza sio elim jambo la msingi ni kupata watu wanaoweka maslai ya taifa mbele kuliko maslai ya chama au kiongozi wao wa chama
 
Hoja dhaifu sana, wenye degree ndo wapiga dili wakubwa, tumekuwa nchi ya masikini kwa sababu ya hiyo degree, hamna waziri ambaye hana degree, lakini mambo ni yaleyele!! Hao wenye degree ndo wanaojilipa posho ya 400k , kuwa mbunge unawakilisha wananchi wote sio wenye degree!! Tena mm naona hao wasomi wenzako ndo walioturudisha nyuma!!
 
Nikimsikilizaga Jumanne Kishimba na hoja zake, ukweli hua naona aibu na degree yangu. Watengenza sera almsot wote nchi hi wana degree, Kishimba anawauliza, hivi mnaposema Mifugo inaharibu mazingira, mmefanya research hiyo wapi? Twendeni basi huko porini tukae siku 5 ili tuone hasa ni nini hicho ambacho hua kinaharibika, kijana umesoma Uingereza, usilete mambo ya Uingereza Tanzania. Ukweli kila nikimsikiliza, napataga shida sana kumkosoa darasa la saba yule. Sina maana kwamba tusibadiri sheria kuwahusu Wabunge, but na elimu yangu hi, nashindwa kumkosoa Kishimba; kwangu mimi Msukuma ni mpiga kelele, katika maneno 10 atakayo ongea, point utaipata moja tu halafu mshkaji ni muongo sana, to me yule anajaza idadi tu ya watu waliopo bungeni.

Back to the topic; ni kweli kwamba Korea kila raia ana degree? Sidhani kama kuna nchi ya namna hiyo duniani, wasiokua na degree hawaoi??? Nahisi hapa umetupiga mkuu, anyway ngoja tu google
 
Nchi sasa imekuwa na wasomi wengi lazima tukubali ,hivyo lazima tubadilishw hata baadhi ya vipengere wakati mbunge Msukuma anaomba mfumo wa elimu ubadilishwe pia na sisi tunaomba kipengere cha sifa ya mtu kugombea ubunge kibadilishwe hiwe lazima hawe degree order.

Na wewe ni mmoja wa wasomi unaowatetea hapa?
 
Habari wadau..!
Tanzania bado tnaishi zama za 3K's yaani Kusoma Kuandika na Kuhesabu wakati dunia ishapita huko hata Tanzania tushapita huko.Ila hii katiba yetu bado ipo zama za 3K 's .

Nchi sasa imekuwa na wasomi wengi lazima tukubali ,hivyo lazima tubadilishw hata baadhi ya vipengere wakati mbunge Msukuma anaomba mfumo wa elimu ubadilishwe pia na sisi tunaomba kipengere cha sifa ya mtu kugombea ubunge kibadilishwe hiwe lazima hawe degree order.

Korea wao mtu kama hana degree hawezi kupata mke sisi huku darasa la saba mbunge wakati wasomi wapo wengi .😂😂😂😂
Wazo ni wazo. Ila, unafanyaje pale wasomi hao hawagombei huo ubunge? Walazimishwe au nini kifanyike?
 
Back
Top Bottom