TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Habari wadau..!
Tanzania bado tnaishi zama za 3K's yaani Kusoma Kuandika na Kuhesabu wakati dunia ishapita huko hata Tanzania tushapita huko.Ila hii katiba yetu bado ipo zama za 3K 's .
Nchi sasa imekuwa na wasomi wengi lazima tukubali ,hivyo lazima tubadilishw hata baadhi ya vipengere wakati mbunge Msukuma anaomba mfumo wa elimu ubadilishwe pia na sisi tunaomba kipengere cha sifa ya mtu kugombea ubunge kibadilishwe hiwe lazima hawe degree holder.
Korea wao mtu kama hana degree hawezi kupata mke sisi huku darasa la saba m bunge wakati wasomi wapo wengi .😂😂😂😂