Korea Kaskazini afanya jaribio la kurusha kombora la balistiki, aongeza tension katika dunia

Korea Kaskazini afanya jaribio la kurusha kombora la balistiki, aongeza tension katika dunia

Kuna mmoja anajiona ni kiranja wa dunia. Anajiona yeye kuwa ni kidume na ana haki miliki ya dunia na kuipiga nchi yoyote ile. Sasa wanamuonesha namna gani na wengine walivyo na nguvu za kuweza kupiga.
Magharibi wajitafakari sana.
Magharibi mpaka sasa hawaamini macho yao.....kitachofuata ni debate juu ya uwezo wa NATO
 
Hata Afrika inaweza IKIAMUA NA KUTAKA KWELI kuwa bara lenye nguvu.......

#Siempre JMT🙏
 
Lengo ni kutaka dunia, hasa Marekani,wahamishe attention kutoka mzozo wa Ukraine na waanze ku-focus na North Korea kurusha makombara.

North Korea na Russia hapa wamekula njama kutaka kupunguza attention ya dunia kwenye mzozo wa Ukraine.
Bado china na taiwan
 
Akifanya hivyo na marekani watapimiwa kipimo hikohiko mrusi, labda na yeye akubali kurudi miaka 20 nyuma
Arudi mara ngapi nyuma soviet yake ilivunjwa na tokea hapo anahaha irudisha bila mafanikio amebaki kulialia tu. Kama angekuwa na ubavu na yeye angevunja states za USA.
 
Hampemdi kusoma ndio tatizo, no research no right to speak
We uliosoma hebu tuambie hilo kombora La Marekani linaweza kutumia dakika ngapi hadi kufika Moscow?
Na Russia akijibu lipi litawahi kufika?
Na jiulize kwanini Marekani anajitahidi kumsogelea mrusi. Lakini mrusi hajishughulishi kumfuata mmarekani
 
W
Hakuna cha ajabu hapo kwani upande wa 2 hawana nuclear ? Ishu ya nuclear ni kwamba yeyote anaeanza kurusha lazima na yeye atajibiwa maana jamaa wakishajua kombora linaelekea kwao na wao lazima warushe upande linapotokea kombora la mpinzani,, sasa urusi anayo mengi kuliko huyo mmarekani....
Piga hesabu zako
Unaju kua na makombora sio ishu siku hizi, marekani ka enrich mara 500 ya TNT iliyo tumika Hiroshima na wana sadikiwa kua na nuclear war head 560
 
Media....
Screenshot_20220227-135452_WhatsApp.jpg
 
Kama ume angalia msafara wa raisi wa marekani kuna kule ki begi ana beba mlinzi, kile akibonyeza buttom moja kombora lina tua moscow na kuirudisha urusi miaka ishirini nyuma
Tumekusikia Lloyd Austin
 
We uliosoma hebu tuambie hilo kombora La Marekani linaweza kutumia dakika ngapi hadi kufika Moscow?
Na Russia akijibu lipi litawahi kufika?
Na jiulize kwanini Marekani anajitahidi kumsogelea mrusi. Lakini mrusi hajishughulishi kumfuata mmarekani
Marekani hawezi kua na open war na urusi yani itakua last option on the table, ila washkaji wana zaidi ya iron dome wanao tumia Israel
 
Kwa sasa hayo makomboro s big issue Sana kiduku anataka tu kuwavuruga NATO na kwa Hali ilipofikia naona NATO imeona lolote na liwe maana UK ameshatuma wanajeshi pia kuna wengine wamesapoti chin chini bila kuonekana hii Vita mungu asaidie iishe tu mapema
 
US marine ana itwa marine ila ana ground combat troops na airforce na navy yake, money is every thing
 
Watakaokuwepo kipindi dunia inaelekea mwisho ndo watelewa na wataona yaliyoandikwa kwenye vitabu vitakatifu unabii kuhusu vita ,angalia hizi silaha hatari zinavyotengezwa na kufanyiwa majaribio lakini lengo ni kuuwia watu,
 
Back
Top Bottom