Balance of power ni jambo la msingi duniani.....
Magharibi mpaka sasa hawaamini macho yao.....kitachofuata ni debate juu ya uwezo wa NATOKuna mmoja anajiona ni kiranja wa dunia. Anajiona yeye kuwa ni kidume na ana haki miliki ya dunia na kuipiga nchi yoyote ile. Sasa wanamuonesha namna gani na wengine walivyo na nguvu za kuweza kupiga.
Magharibi wajitafakari sana.
Kama ugomvi hauepukiki anza kurusha ngumi.Kama ume angalia msafara wa raisi wa marekani kuna kule ki begi ana beba mlinzi, kile akibonyeza buttom moja kombora lina tua moscow na kuirudisha urusi miaka ishirini nyuma
Bado china na taiwanLengo ni kutaka dunia, hasa Marekani,wahamishe attention kutoka mzozo wa Ukraine na waanze ku-focus na North Korea kurusha makombara.
North Korea na Russia hapa wamekula njama kutaka kupunguza attention ya dunia kwenye mzozo wa Ukraine.
ametita[emoji23][emoji23][emoji23] ebu kamwambie mama akutawaze kwanza
Arudi mara ngapi nyuma soviet yake ilivunjwa na tokea hapo anahaha irudisha bila mafanikio amebaki kulialia tu. Kama angekuwa na ubavu na yeye angevunja states za USA.Akifanya hivyo na marekani watapimiwa kipimo hikohiko mrusi, labda na yeye akubali kurudi miaka 20 nyuma
Hakuna cha ajabu hapo kwani upande wa 2 hawana nuclear ? Ishu ya nuclear ni kwamba yeyote anaeanza kurusha lazima na yeye atajibiwa maana jamaa wakishajua kombora linaelekea kwao na wao lazima warushe upande linapotokea kombora la mpinzani,, sasa urusi anayo mengi kuliko huyo mmarekani....
We uliosoma hebu tuambie hilo kombora La Marekani linaweza kutumia dakika ngapi hadi kufika Moscow?Hampemdi kusoma ndio tatizo, no research no right to speak
Unaju kua na makombora sio ishu siku hizi, marekani ka enrich mara 500 ya TNT iliyo tumika Hiroshima na wana sadikiwa kua na nuclear war head 560Hakuna cha ajabu hapo kwani upande wa 2 hawana nuclear ? Ishu ya nuclear ni kwamba yeyote anaeanza kurusha lazima na yeye atajibiwa maana jamaa wakishajua kombora linaelekea kwao na wao lazima warushe upande linapotokea kombora la mpinzani,, sasa urusi anayo mengi kuliko huyo mmarekani....
Piga hesabu zako
Tumekusikia Lloyd AustinKama ume angalia msafara wa raisi wa marekani kuna kule ki begi ana beba mlinzi, kile akibonyeza buttom moja kombora lina tua moscow na kuirudisha urusi miaka ishirini nyuma
Marekani hawezi kua na open war na urusi yani itakua last option on the table, ila washkaji wana zaidi ya iron dome wanao tumia IsraelWe uliosoma hebu tuambie hilo kombora La Marekani linaweza kutumia dakika ngapi hadi kufika Moscow?
Na Russia akijibu lipi litawahi kufika?
Na jiulize kwanini Marekani anajitahidi kumsogelea mrusi. Lakini mrusi hajishughulishi kumfuata mmarekani
Atapimiwa iko iko na nyoongeza ikiyojaa na kumiminka😂😂Akifanya hivyo na marekani watapimiwa kipimo hikohiko mrusi, labda na yeye akubali kurudi miaka 20 nyuma