YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
MaajabuLeo north Korea anaipa msaada Russia [emoji848][emoji848][emoji848]
Urusi hoi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MaajabuLeo north Korea anaipa msaada Russia [emoji848][emoji848][emoji848]
... dunia inazunguruka kasi sana huwezi kuamini ila ndio hivyo.Leo north Korea anaipa msaada Russia [emoji848][emoji848][emoji848]
Ndo kwanza wanaelemewa,Zilipendwa oooh HIMARS zimebadiri upepo huko.... Putin anaaibika leo kweli putin wakuomba askari wa akiba north korea? [emoji1787][emoji1787]
Hivi wewe akili yako iko sawa sawa!!, yaani maneno yako unaita habari, ebu tuambie nani katoa hiyo kauli na alikuwa anaongea nani? halafu leta na chanzo cha habari na sisi tuoneTaifa la Korea Kaskazini limesema liko tayari kutuma wanajeshi laki moja kuisadia Urusi katika vita vyake na Ukraine. Kauli hiyo ilitolewa katika kipindi kimoja cha tv kinachoruswa na teelevisheni ya taifa ya Urusi.
View attachment 2316312
Huna akili kabisa , habari umeona wapi?Putin na urusi yake wameanza kukata moto.
Hao mgambo watawekwa kwenye rambo.
Supa pawa WA mchongoTaifa la Korea Kaskazini limesema liko tayari kutuma wanajeshi laki moja kuisadia Urusi katika vita vyake na Ukraine. Kauli hiyo ilitolewa katika kipindi kimoja cha tv kinachoruswa na teelevisheni ya taifa ya Urusi.
View attachment 2316312
Huyo US unaye muabudu yeye alipigana vita gani peke yake?Halafu utasikia Kwa Mpalange & Co; kujisifia humu Urusi anapigana mwenyewe bila msaada. Wanajishaulisha Iran, Syria, NK, Chechnya na vibaraka wake wote wako naye bega kwa bega battle field.
Pumzi imekata.Kweli inafikia hatua mpaka urusi anakodi wapiganaji?
Kweli?
Kweli?
Kweliiii???
Na zile mbwembe zote alizoingianazo Ukraine huku akitoa mkwala mzito kuwa yeyote atakayewasaidia Ukraine atakiona Cha moto?
Hakika wahenga waliona mbali sana waliposema dunia duara
Watapeleka mpaka sungusungu mwaka Huu , hizo Himars zinavyofIra sasaMgambo tena
Mambo mengine bwana,mataifa mangapi yamejitangaza adhalahi kwamba yatapeleka wanajeshi Ukraine kumsaidia Zelensky? Hakuna, badala yake wanatoa misaada tu lakini sio boots on the ground,unajuwa kwa nini hawajitokezi adhalani na kusema watapeleka wanajeshi nchini Ukraine kupambana na jeshi la Russia - because deep down they know kwamba onyo la Putin silo la kuchukulia kimzaa mzaa hata kidogo, ndio maana wananywea wanaishia kusema sema maneno chungu mzima yenye lengo la kumwaribia sifa Putin.Kweli inafikia hatua mpaka urusi anakodi wapiganaji?
Kweli?
Kweli?
Kweliiii???
Na zile mbwembe zote alizoingianazo Ukraine huku akitoa mkwala mzito kuwa yeyote atakayewasaidia Ukraine atakiona Cha moto?
Hakika wahenga waliona mbali sana waliposema dunia duara
Kwani mataifa mangapi yametangaza kuisaidia Ukraine silaha, unafikiri Putin anapenda Ukraine asaidiwe silaha za kuwafyeka wanajeshi wa urusi na ule msafara wao wa 64km? Au unafikiri Putin ana Cha kuwafanya US, Turkey, Poland, France, UK, Germany, nk ambao wameisaidia Ukraine silaha ambazo zinatoa roho za warusi! Russia maji ya shingo, yeye asaidiwe na yeyote yule lakin kipo palepale.Mambo mengine bwana,mataifa mangapi yamejitangaza adhalahi kwamba yamepeleka wanajeshi Ukraine kumsaidia Zelensky? Hakuna, badala yake wanatoa misaada tu lakini sio boots on the ground,unajuwa kwa nini hawajitokezi adhalani na kusema watapeleka wanajeshi nchini Ukraine kupambana na jeshi la Russia - Hakuna!! Unajua kwa nini, they know kwamba onyo la Putin silo la kuchukulia kimzaa mzaa, ndio maana wananywea wanaishia kusema sema maneno chungu mzima yenye lengo la kumwaribia sifa Putin.
Kama ni kweli Kim anapeleka wanajeshi laki moja huko Urusi/Ukraine hao watakuwa wamejitolea tu Russia haina upungufu wanajeshi after all raia wengi wa Urusi wamepitia mafunzo ya kijeshi kwa miaka mitatu,sasa ili la kusema Urusi imepungukiwa wanajeshi habari hizo ni za kutunga si unajua tena, mara Urusi imeishiwa missiles pamoja na ammunitions zimebaki za wiki mbili tu - uongo mtupu.
Wachambuzi wa mambo wanasema Urusi ilitumia wanajeshi 150,000 kwenye operation ndani ya Ukraine,infantry haikutumiwa sana ndio maana tulikuwa hatuoni askari wengi wa miguu wakiongozana na vifaru pamoja na APC
Taifa la Korea Kaskazini limesema liko tayari kutuma wanajeshi laki moja kuisadia Urusi katika vita vyake na Ukraine. Kauli hiyo ilitolewa katika kipindi kimoja cha tv kinachoruswa na teelevisheni ya taifa ya Urusi.
View attachment 2316312
Urusi alisifiwa kukimbia akapitiliza kwao,Maajabu
Urusi hoi
Huyo ni pro-Russia mwenzako shekhe [emoji12]Hivi wewe akili yako iko sawa sawa!!, yaani maneno yako unaita habari, ebu tuambie nani katoa hiyo kauli na alikuwa anaongea nani? halafu leta na chanzo cha habari na sisi tuone
Ila hao wenzao wametumia vikosa bora mpaka sasa?Umechelewa kujua ata ww kuwa Russia katika Operation yake huko Ukraine hajatumia Red Army ila anatumia wanajeshi wa kukodi Wagner Group pia unatumia jeshi la watu wanaotaka kujitenga DPL?
Putin made great mistake to underestimate Ukraine [emoji848]The time has exposes their weaknesses.. Noone gives them attention anymore.
I thought Russia claimed to have weapons that can destroy the antile world why still she's struggling in Ukraine until now?.
Believe autocratic governments at your own peril. They are going to secrifice those small boys for theirs interests.
God curse them