Korea Kaskazini kuipa Urusi wanamgambo 100,000

Korea Kaskazini kuipa Urusi wanamgambo 100,000

Taifa la Korea Kaskazini limesema liko tayari kutuma wanajeshi laki moja kuisadia Urusi katika vita vyake na Ukraine. Kauli hiyo ilitolewa katika kipindi kimoja cha tv kinachoruswa na teelevisheni ya taifa ya Urusi.
View attachment 2316312
Hivi wewe akili yako iko sawa sawa!!, yaani maneno yako unaita habari, ebu tuambie nani katoa hiyo kauli na alikuwa anaongea nani? halafu leta na chanzo cha habari na sisi tuone
 
The time has exposes their weaknesses.. Noone gives them attention anymore.
I thought Russia claimed to have weapons that can destroy the antile world why still she's struggling in Ukraine until now?.
Believe autocratic governments at your own peril. They are going to secrifice those small boys for theirs interests.
God curse them
 
pro nato mnachekesha kweli mtu ameamua mwenyewe kutoa offer ya wanajeshi wake waje kuisaidia Russia kwenye operation kiroho safi tu kuteseka mnateseka nyinyi ata wewe leo hii uki volunteer kwenda kuungana na Russia ukraine Russia wanakuchukua tu kwanza hii ni small operation siyo vita bado atujatangaza vita kamili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu utasikia Kwa Mpalange & Co; kujisifia humu Urusi anapigana mwenyewe bila msaada. Wanajishaulisha Iran, Syria, NK, Chechnya na vibaraka wake wote wako naye bega kwa bega battle field.
Huyo US unaye muabudu yeye alipigana vita gani peke yake?
Analazimisha mpaka nchi zisizohusika kutonunua mafua na gas toka Russia,

Uwe unatumia akili kwanza kabla ya kutanguliza mahaba niue.
 
Kweli inafikia hatua mpaka urusi anakodi wapiganaji?
Kweli?
Kweli?
Kweliiii???
Na zile mbwembe zote alizoingianazo Ukraine huku akitoa mkwala mzito kuwa yeyote atakayewasaidia Ukraine atakiona Cha moto?
Hakika wahenga waliona mbali sana waliposema dunia duara
Pumzi imekata.
 
Mambo mengine bwana,mataifa mangapi yamejitangaza adhalahi kwamba yatapeleka wanajeshi Ukraine kumsaidia Zelensky? Hakuna, badala yake wanatoa misaada tu lakini sio boots on the ground,unajuwa kwa nini hawajitokezi adhalani na kusema watapeleka wanajeshi nchini Ukraine kupambana na jeshi la Russia - because deep down they know kwamba onyo la Putin silo la kuchukulia kimzaa mzaa hata kidogo, ndio maana wananywea wanaishia kusema sema maneno chungu mzima yenye lengo la kumwaribia sifa Putin.

Kama ni kweli Kim anapeleka wanajeshi laki moja huko Urusi/Ukraine hao watakuwa wamejitolea tu na sio kwamba Russia inakabiliwa na upungufu wa wanajeshi, after all raia wengi wa Urusi wamepitia mafunzo ya kijeshi kwa miaka mitatu mitatu,sasa ili la kusema eti Urusi imepungukiwa wanajeshi habari hizo ni za kutunga si unajua tena, mara Urusi imeishiwa missiles pamoja na ammunitions zimebaki za wiki mbili tu - uongo mtupu wenye lengo la kuonyesha Urusi imelemewa - usanii wa media za magharibi, hawakosi kisingizio.

Wachambuzi wa mambo wanasema Urusi ilitumia wanajeshi 150,000 tu kwenye operation ndani ya Ukraine,infantry haikutumiwa sana ndio maana tulikuwa hatuoni askari wengi wa miguu wakiongozana na vifaru pamoja na APC hivyo idadi ya vifyo vya askari ni minimum,kama mnakumbuka vizuri hata askari sniper kutoka Canada aliwahi kukiri kwamba ni mara chache kukutana na askari wa miguu wa Urusi,yeye mara yote alikuwa anakutana na vifaru na APCs tu,basi. What does that tell you.
 
Mambo mengine bwana,mataifa mangapi yamejitangaza adhalahi kwamba yamepeleka wanajeshi Ukraine kumsaidia Zelensky? Hakuna, badala yake wanatoa misaada tu lakini sio boots on the ground,unajuwa kwa nini hawajitokezi adhalani na kusema watapeleka wanajeshi nchini Ukraine kupambana na jeshi la Russia - Hakuna!! Unajua kwa nini, they know kwamba onyo la Putin silo la kuchukulia kimzaa mzaa, ndio maana wananywea wanaishia kusema sema maneno chungu mzima yenye lengo la kumwaribia sifa Putin.

Kama ni kweli Kim anapeleka wanajeshi laki moja huko Urusi/Ukraine hao watakuwa wamejitolea tu Russia haina upungufu wanajeshi after all raia wengi wa Urusi wamepitia mafunzo ya kijeshi kwa miaka mitatu,sasa ili la kusema Urusi imepungukiwa wanajeshi habari hizo ni za kutunga si unajua tena, mara Urusi imeishiwa missiles pamoja na ammunitions zimebaki za wiki mbili tu - uongo mtupu.

Wachambuzi wa mambo wanasema Urusi ilitumia wanajeshi 150,000 kwenye operation ndani ya Ukraine,infantry haikutumiwa sana ndio maana tulikuwa hatuoni askari wengi wa miguu wakiongozana na vifaru pamoja na APC
Kwani mataifa mangapi yametangaza kuisaidia Ukraine silaha, unafikiri Putin anapenda Ukraine asaidiwe silaha za kuwafyeka wanajeshi wa urusi na ule msafara wao wa 64km? Au unafikiri Putin ana Cha kuwafanya US, Turkey, Poland, France, UK, Germany, nk ambao wameisaidia Ukraine silaha ambazo zinatoa roho za warusi! Russia maji ya shingo, yeye asaidiwe na yeyote yule lakin kipo palepale.
 
Iyo ni taarifa ya kusadikika ila hakuna ukweli wowote hapo.wanajeshi laki 1 sio mchezo.huo sio msaada bali ni sawa na kutangaza vita na iyo nchi
Taifa la Korea Kaskazini limesema liko tayari kutuma wanajeshi laki moja kuisadia Urusi katika vita vyake na Ukraine. Kauli hiyo ilitolewa katika kipindi kimoja cha tv kinachoruswa na teelevisheni ya taifa ya Urusi.
View attachment 2316312
 
Hivi wewe akili yako iko sawa sawa!!, yaani maneno yako unaita habari, ebu tuambie nani katoa hiyo kauli na alikuwa anaongea nani? halafu leta na chanzo cha habari na sisi tuone
Huyo ni pro-Russia mwenzako shekhe [emoji12]
Naona pro-Russia mnaanza kupoteana Sasa[emoji1787][emoji1787]
 
Umechelewa kujua ata ww kuwa Russia katika Operation yake huko Ukraine hajatumia Red Army ila anatumia wanajeshi wa kukodi Wagner Group pia unatumia jeshi la watu wanaotaka kujitenga DPL?
Ila hao wenzao wametumia vikosa bora mpaka sasa?
 
The time has exposes their weaknesses.. Noone gives them attention anymore.
I thought Russia claimed to have weapons that can destroy the antile world why still she's struggling in Ukraine until now?.
Believe autocratic governments at your own peril. They are going to secrifice those small boys for theirs interests.
God curse them
Putin made great mistake to underestimate Ukraine [emoji848]
 
Back
Top Bottom