Mambo mengine bwana,mataifa mangapi yamejitangaza adhalahi kwamba yatapeleka wanajeshi Ukraine kumsaidia Zelensky? Hakuna, badala yake wanatoa misaada tu lakini sio boots on the ground,unajuwa kwa nini hawajitokezi adhalani na kusema watapeleka wanajeshi nchini Ukraine kupambana na jeshi la Russia - because deep down they know kwamba onyo la Putin silo la kuchukulia kimzaa mzaa hata kidogo, ndio maana wananywea wanaishia kusema sema maneno chungu mzima yenye lengo la kumwaribia sifa Putin.
Kama ni kweli Kim anapeleka wanajeshi laki moja huko Urusi/Ukraine hao watakuwa wamejitolea tu na sio kwamba Russia inakabiliwa na upungufu wa wanajeshi, after all raia wengi wa Urusi wamepitia mafunzo ya kijeshi kwa miaka mitatu mitatu,sasa ili la kusema eti Urusi imepungukiwa wanajeshi habari hizo ni za kutunga si unajua tena, mara Urusi imeishiwa missiles pamoja na ammunitions zimebaki za wiki mbili tu - uongo mtupu wenye lengo la kuonyesha Urusi imelemewa - usanii wa media za magharibi, hawakosi kisingizio.
Wachambuzi wa mambo wanasema Urusi ilitumia wanajeshi 150,000 tu kwenye operation ndani ya Ukraine,infantry haikutumiwa sana ndio maana tulikuwa hatuoni askari wengi wa miguu wakiongozana na vifaru pamoja na APC hivyo idadi ya vifyo vya askari ni minimum,kama mnakumbuka vizuri hata askari sniper kutoka Canada aliwahi kukiri kwamba ni mara chache kukutana na askari wa miguu wa Urusi,yeye mara yote alikuwa anakutana na vifaru na APCs tu,basi. What does that tell you.