Korea Kaskazini kuipa Urusi wanamgambo 100,000

Korea Kaskazini kuipa Urusi wanamgambo 100,000

Mambo mengine bwana,mataifa mangapi yamejitangaza adhalahi kwamba yatapeleka wanajeshi Ukraine kumsaidia Zelensky? Hakuna, badala yake wanatoa misaada tu lakini sio boots on the ground,unajuwa kwa nini hawajitokezi adhalani na kusema watapeleka wanajeshi nchini Ukraine kupambana na jeshi la Russia - because deep down they know kwamba onyo la Putin silo la kuchukulia kimzaa mzaa hata kidogo, ndio maana wananywea wanaishia kusema sema maneno chungu mzima yenye lengo la kumwaribia sifa Putin.

Kama ni kweli Kim anapeleka wanajeshi laki moja huko Urusi/Ukraine hao watakuwa wamejitolea tu na sio kwamba Russia inakabiliwa na upungufu wa wanajeshi, after all raia wengi wa Urusi wamepitia mafunzo ya kijeshi kwa miaka mitatu mitatu,sasa ili la kusema eti Urusi imepungukiwa wanajeshi habari hizo ni za kutunga si unajua tena, mara Urusi imeishiwa missiles pamoja na ammunitions zimebaki za wiki mbili tu - uongo mtupu wenye lengo la kuonyesha Urusi imelemewa - usanii wa media za magharibi, hawakosi kisingizio.

Wachambuzi wa mambo wanasema Urusi ilitumia wanajeshi 150,000 tu kwenye operation ndani ya Ukraine,infantry haikutumiwa sana ndio maana tulikuwa hatuoni askari wengi wa miguu wakiongozana na vifaru pamoja na APC hivyo idadi ya vifyo vya askari ni minimum,kama mnakumbuka vizuri hata askari sniper kutoka Canada aliwahi kukiri kwamba ni mara chache kukutana na askari wa miguu wa Urusi,yeye mara yote alikuwa anakutana na vifaru na APCs tu,basi. What does that tell you.
Vip bado una Imani kwamba vikosi vya Putin vitaweza kusonga Hadi Kyiv na kuipindua utawala wa zelensiky [emoji848]
 
Kwani mataifa mangapi yametangaza kuisaidia Ukraine silaha, unafikiri Putin anapenda Ukraine asaidiwe silaha za kuwafyeka wanajeshi wa urusi na ule msafara wao wa 64km? Au unafikiri Putin ana Cha kuwafanya US, Turkey, Poland, France, UK, Germany, nk ambao wameisaidia Ukraine silaha ambazo zinatoa roho za warusi! Russia maji ya shingo, yeye asaidiwe na yeyote yule lakin kipo palepale.
First thing first, please stick to the main point, mark you - hapa hatuzungumzii masuala ya silaha, sijui kwa nini una kawaida ya kupindisha pindisha hoja, oh yes,turning everything inside out and upside down!!

Repeat, kinacho zungumziwa hapa ni upelekaji wanajeshi wa miguu kutoka nchi za magharibi notably NATO/US kwenda kumsaidia Zelensky, ndio maana mimi nikasema hakuna Taifa lolote lenye kujitambua linaweza kudriki kupuuzia onyo kali alilo litoa Putin kuhusu taifa/mataifa kujiingiza moja kwa moja kwenye vita inayo endea nchini Ukraine, nikasema mpaka sasa hakuna taifa lolote lime-defy onyo kali la Putin, hakuna.

Tunavyo fahamu ujeuri na kiburi cha NATO/US unafikiri wangekaa kimya muda wote huu bila ya kutuma wanajeshi na ndege kuishambulia URUSI - now, a million dollar question is:kwa nini wanasita - jibu unalo.
 
Wewe cheusi mangala ndo tajiri
Mimi cheusi mangala;
1. Kwanza niko nchi ya maziwa na asali
2. Pili nina amani
3. Siku hizi mwanaume mweusi ni dili kubwa kwa warembo...so bongo sihami na pesa ya kula ipo....vipi hapo wewe albino? 🤣🤣🤣
 
Putin made great mistake to underestimate Ukraine [emoji848]
Then they have to pay heavy price..
Over 6 months now they haven't even annexed any city or village dispite Cremia and Donabas. , wasting resources, equipments time and causes unwanted inflation in the world.
This teaches us that the power shouldn't given to one person.
 
Hao wanajeshi wa Kiduku wana njaa mno,hawajui lolote ngoja wakageuzwe mbolea ya kukuzia alizeti
Sio kwamba hao wanamgambo wanakwenda kuwashikisha ukuta Zele na wanajeshi wake. TULIA kijana uangalie chezo
 
The time has exposes their weaknesses.. Noone gives them attention anymore.
I thought Russia claimed to have weapons that can destroy the antile world why still she's struggling in Ukraine until now?.
Believe autocratic governments at your own peril. They are going to secrifice those small boys for theirs interests.
God curse them
Here we go again!! How long did take US forces fighting a futile war in VietNam, how about Afghanistan fiasco twenty odd years achieving nothing at the end of the day save the Talibanis going back on drivers seat to run Afghanistan Govt once again.
 
Mambo mengine bwana,mataifa mangapi yamejitangaza adhalahi kwamba yatapeleka wanajeshi Ukraine kumsaidia Zelensky? Hakuna, badala yake wanatoa misaada tu lakini sio boots on the ground,unajuwa kwa nini hawajitokezi adhalani na kusema watapeleka wanajeshi nchini Ukraine kupambana na jeshi la Russia - because deep down they know kwamba onyo la Putin silo la kuchukulia kimzaa mzaa hata kidogo, ndio maana wananywea wanaishia kusema sema maneno chungu mzima yenye lengo la kumwaribia sifa Putin.

Kama ni kweli Kim anapeleka wanajeshi laki moja huko Urusi/Ukraine hao watakuwa wamejitolea tu na sio kwamba Russia inakabiliwa na upungufu wa wanajeshi, after all raia wengi wa Urusi wamepitia mafunzo ya kijeshi kwa miaka mitatu mitatu,sasa ili la kusema eti Urusi imepungukiwa wanajeshi habari hizo ni za kutunga si unajua tena, mara Urusi imeishiwa missiles pamoja na ammunitions zimebaki za wiki mbili tu - uongo mtupu wenye lengo la kuonyesha Urusi imelemewa - usanii wa media za magharibi, hawakosi kisingizio.

Wachambuzi wa mambo wanasema Urusi ilitumia wanajeshi 150,000 tu kwenye operation ndani ya Ukraine,infantry haikutumiwa sana ndio maana tulikuwa hatuoni askari wengi wa miguu wakiongozana na vifaru pamoja na APC hivyo idadi ya vifyo vya askari ni minimum,kama mnakumbuka vizuri hata askari sniper kutoka Canada aliwahi kukiri kwamba ni mara chache kukutana na askari wa miguu wa Urusi,yeye mara yote alikuwa anakutana na vifaru na APCs tu,basi. What does that tell you.
Ivi wewe una akili timamu kweli kwaiyo ivyo vifaru na izo APC vinakuwa ninaongozwa ama kuendeshwa na nani ndugu mtangazaji??
 
Then they have to pay heavy price..
Over 6 months now they haven't even annexed any city or village dispite Cremia and Donabas. , wasting resources, equipments time and causes unwanted inflation in the world.
This teaches us that the power shouldn't given to one person.
Exactly!
 
Umechelewa kujua ata ww kuwa Russia katika Operation yake huko Ukraine hajatumia Red Army ila anatumia wanajeshi wa kukodi Wagner Group pia unatumia jeshi la watu wanaotaka kujitenga DPL?
Umedanganya. Kwanza, Red Army lilikuwa jeshi la Soviet Union likilithiwa kutoka kwa Bolsheviks na lilikufa mwaka 1946 muda mfupi baada ya kumaliza WW2. Cold war wakati inaanza hata haijalikuta.
Pili, Wagner Group na waasi wa Donetsk na Luhansk wote hawana fighter jets wala meli wala makombora kama Kalibr. Hizo silaha zinatumika sana, vipi zinatumiwa na nani kama jeshi la Urusi halijaenda?

Moskva iliyozama ilikuwa inatumiwa na kina nani. Complex radars, jamming systems na ndege zilizopigwa zinatumika na nani
20220719_222641.jpg
20220719_225639.jpg
20220719_231604.jpg
Yani wale Wagner waliokuwa wanapigana Libya na Syria hata drones wala vifaru hawana ndio wako wanapigana pale Ukraine. Wagner hawahawa ambao wako Central African Republic?

Russia imekusanya majeshi yake na kuiita hii vita special military operation kukwepa vitu fulani kikatiba na ni mkakati. Ila wanajeshi wapo frontline na majenerali kibao washauwawa. Hao DNR na Wagner wapo kwa uchache, Russia imeleta mpaka Chechens na kiongozi wao ambapo ni Republic within the Federation bado unasema kuna waasi tu na contractors
 
Here we go again!! How long did take US forces fighting a futile war in VietNam, how about Afghanistan fiasco twenty odd years achieving nothing at the end of the day save the Talibanis going back on drivers seat to run Afghanistan Govt once again.
Abi, are we talking about US or Russia?. I guess you got nothing to say about Russia's failures that why you want to divert the subject.
You want to talk about the country that defeated the badest combo in modern history?. 🤣🤣🤣
My friend Russia Very violent and sick dictator who's bent on destroying the world..

Was this not how Adolf started his nonsense.. something similar..
Modified:who are the buzzos saying Russia is fighting for a reason..what nonsense old territory is he fighting to get back..
Putin is an abject failure as “president” of Russia. In reality he’s a dictator who frankly has utterly failed to deliver. Russia’s economy sucks, their government is ruled by a criminal junta under Putin’s command, and Putin owes much to the petrochemical oligarchs who, in reality, control the economy.
 
Kwanza siamini kama North Korea wataamua kuchukua hiyo risk ya kutuma idadi yote hiyo. Wanajeshi 100,000 wengi wao watataka kutoroka wakiwa ukouko vitani. Wakitoroka watu wengi kwa wakati mmoja na walikuwa wanajeshi ni hatari kwa North Korea maana ile nchi inajitahidi kadri ya uwezo wake isitume diaspora nje unless wawe na familia, connection na umri wao ni mkubwa. Au ikitoa watu nje mfano wanaopelekwa China kwenye sweatshops huwa inahakikishiwa warudi. China huwa inawarudisha maana wanafungiwa, Russia haitakuwa na guarantee nzuri ya kurudisha wote. North huwa inapiga risasi raia wake wanaovuka DMZ kwenda South, South muda wote huwa inakagua kuona kama kuna Northerner anajaribu kupenya senyenge na kukwepa landmines imuokoe akishakanyaga South.

Mwenyewe ningependa kuona wanajeshi wa North Korea vitani ili niprove kwa watu jinsi walivyo na poor training, skills, health, equipments, ... poor everything. North Korea mazoezi wanayojua kuliko jeshi lolote huwa ni zoezi la kushinda njaa, wale watu wanasurvive njaa kuliko maelezo.
 
Putin ni bwana Haambiliki, huu mgogoro kaunzisha yeye mwenyewe, washauri wake wengi walikuwa kinyume kabisa na uvamizi wake.
Masikini Putin.., jamaa ana uchungu sana moyoni baada ya kuingizwa mkenge na washauri vilaza [emoji848]
 
Alaaniwe Putin na madikteta wote pia duniani
The time has exposes their weaknesses.. Noone gives them attention anymore.
I thought Russia claimed to have weapons that can destroy the antile world why still she's struggling in Ukraine until now?.
Believe autocratic governments at your own peril. They are going to secrifice those small boys for theirs interests.
God curse them
 
Halafu utasikia Kwa Mpalange & Co; kujisifia humu Urusi anapigana mwenyewe bila msaada. Wanajishaulisha Iran, Syria, NK, Chechnya na vibaraka wake wote wako naye bega kwa bega battle field.
Hamna shida broo. kwani dawa ipo imejaa na ya kutosha kabisa hata ziada inapatikana. We Waache wajipange foleni wajilete kama mbwa anavyojipeleka kwa chatu.
 
Vip bado una Imani kwamba vikosi vya Putin vitaweza kusonga Hadi Kyiv na kuipindua utawala wa zelensiky [emoji848]
Zelensky akiendelea kumtunia misuli na kumdharau Putin au kuendelea kurusha rusha maroketi kwenye aridhi au ndani ya miji ya Russian Federation nina uhakika Putin atatumia uwezo wake kijeshi kikamilifu - hilo likitekelezwa Zelensky na Serikali yake itaondolewa madarakani fasta na hakuna Taifa lolote litaingilia kati kumunusuru atakimbilia Miami Florida kwenye Mansion yake - after all Zelensky is already stinking rich baada ya kupiga hela ndefu kwenye dubious deals kwenye vita hii inayo endelea huko Ukraine.
 
pro nato mnachekesha kweli mtu ameamua mwenyewe kutoa offer ya wanajeshi wake waje kuisaidia Russia kwenye operation kiroho safi tu kuteseka mnateseka nyinyi ata wewe leo hii uki volunteer kwenda kuungana na Russia ukraine Russia wanakuchukua tu kwanza hii ni small operation siyo vita bado atujatangaza vita kamili

Sent using Jamii Forums mobile app
Mm cjawahi kusikia kwamba huwaga kuna "Small Operation ya kudumu" Ndo kwanza naisikia hii ya Urusi.
 
Back
Top Bottom