Gunst
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 2,995
- 5,664
We bwege tuliza mshono, Mumeo putin kakata motoHuna akili kabisa , habari umeona wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We bwege tuliza mshono, Mumeo putin kakata motoHuna akili kabisa , habari umeona wapi?
Mm cjawahi kusikia kwamba huwaga kuna "Small Operation ya kudumu" Ndo kwanza naisikia hii ya Urusi.
........ nina uhakika Putin atatumia uwezo wake kijeshi kikamilifu - ..... Uwezo upi tena mkuu wakati hapo juu (kichwa cha Uzi) kinasema atasaidiwa wanamgambo laki moja ili wamsaidie kwenye vita na Ukraine? Sasa ww huoni hiyo ni kauli inayothibitisha kwamba hakika Putin "amekamatiwa chini" na asipopata msaada wa haraka anakwenda na maji. Halafu broo ujue kwamba wanamgambo sio professional soldiers wa viwango. Hao wanamgambo wanauzwa kama bidhaa ya vita na kwa Putin na Mkorea hilo ni dili baina yao na hao mbulukenge wanaenda kukaangwa. Pole zao. watawafahamu Azov ni kina nani.Zelensky akiendelea kumtunia misuli na kumdharau Putin au kuendelea kurusha rusha maroketi kwenye aridhi au ndani ya miji ya Russian Federation nina uhakika Putin atatumia uwezo wake kijeshi kikamilifu - hilo likitekelezwa Zelensky na Serikali yake itaondolewa madarakani fasta na hakuna Taifa lolote litaingilia kati kumunusuru atakimbilia Miami Florida kwenye Mansion yake - after all Zelensky is already stinking rich baada ya kupiga hela ndefu kwenye dubious deals kwenye vita hii inayo endelea huko Ukraine.
Mkuu naomba kukuhakishia kwamba urusi ilitumia jeshi lake lote kikamilifu Ile wiki 3 za mwanzo za uvamizi wake nchini UkraineZelensky akiendelea kumtunia misuli na kumdharau Putin au kuendelea kurusha rusha maroketi kwenye aridhi au ndani ya miji ya Russian Federation nina uhakika Putin atatumia uwezo wake kijeshi kikamilifu - hilo likitekelezwa Zelensky na Serikali yake itaondolewa madarakani fasta na hakuna Taifa lolote litaingilia kati kumunusuru atakimbilia Miami Florida kwenye Mansion yake - after all Zelensky is already stinking rich baada ya kupiga hela ndefu kwenye dubious deals kwenye vita hii inayo endelea huko Ukraine.
Zelensky akiendelea kumtunia misuli na kumdharau Putin au kuendelea kurusha rusha maroketi kwenye aridhi au ndani ya miji ya Russian Federation nina uhakika Putin atatumia uwezo wake kijeshi kikamilifu - hilo likitekelezwa Zelensky na Serikali yake itaondolewa madarakani fasta na hakuna Taifa lolote litaingilia kati kumunusuru atakimbilia Miami Florida kwenye Mansion yake - after all Zelensky is already stinking rich baada ya kupiga hela ndefu kwenye dubious deals kwenye vita hii inayo endelea huko Ukraine.
Kwani mataifa mangapi yametangaza kuisaidia Ukraine silaha, unafikiri Putin anapenda Ukraine asaidiwe silaha za kuwafyeka wanajeshi wa urusi na ule msafara wao wa 64km? Au unafikiri Putin ana Cha kuwafanya US, Turkey, Poland, France, UK, Germany, nk ambao wameisaidia Ukraine silaha ambazo zinatoa roho za warusi! Russia maji ya shingo, yeye asaidiwe na yeyote yule lakin kipo palepale.
........ nina uhakika Putin atatumia uwezo wake kijeshi kikamilifu - ..... Uwezo upi tena mkuu wakati hapo juu (kichwa cha Uzi) kinasema atasaidiwa wanamgambo laki moja ili wamsaidie kwenye vita na Ukraine? Sasa ww huoni hiyo ni kauli inayothibitisha kwamba hakika Putin "amekamatiwa chini" na asipopata msaada wa haraka anakwenda na maji. Halafu broo ujue kwamba wanamgambo sio professional soldiers wa viwango. Hao wanamgambo wanauzwa kama bidhaa ya vita na kwa Putin na Mkorea hilo ni dili baina yao na hao mbulukenge wanaenda kukaangwa. Pole zao. watawafahamu Azov ni kina nani.
Mkuu naomba kukuhakishia kwamba urusi ilitumia jeshi lake lote kikamilifu Ile wiki 3 za mwanzo za uvamizi wake nchini Ukraine
Usijidanganye kwamba Kuna kitu alikiacha nyuma katika nguvu zake alizokuwa nazo,
Yamkini hata hizi HIMARS zinazomsumbua urusi Leo, zingemeshalipuliwa zamani kama zingekuwepo Ukraine zile siku za mwanzo za uvamizi , maana katika siku zile urusi aliweza kwa kiasi kikubwa kulitawala na kulidhibiti anga la Ukraine
Kwa ufupi ni kwamba kadri siku zinavyokwenda ndivyo urusi anavyozidi kuwa mdebwedo huku Ukraine akizidi kuhimarika ,
Umeshajiuliza wale maelf ya wanajeshi wa Ukraine wanaopewa mafunzo huko marekani na uingereza wakirudi uwanja wa vita Hali itakuwaje?
Huu mkenge aliouingia Putin itabidi ajipange sana,[emoji848]
Unamaanisha nyuklia?
Mpaka sasa Putin ameshatumia silaha zake zote kasoro nuclear tu.
Nancy Pelosi anakusalimia
Putin apuuzwe mara ngapi wakati kila leo anapuuzwa na hana cha kufanya, wapeleke wanajeshi wa nini wakati hao wa Ukraine waliopo wanafanya kazi nzuri, na nani alikudanganya mpango wa NATO ni kuishambulia Russia?! Waziri wa ulinzi wa marekani aliweka wazi lengo la Marekani ni kuifanya vita idumu muda mrefu ili Russia aendelee kutumia rasilimali zake kwenye vita ili adhoofike na liwe funzo kwake ili akome kabisa tabia ya kuvamia nchi za watu huko mbele. Na hadi lengo linatimia kama lilivyopangwa make mwezi wa 6 Sasa kimeumana, na ili kufanikisha zaidi sponsor kule naye keshazuliwa zogo.First thing first, please stick to the main point, mark you - hapa hatuzungumzii masuala ya silaha, sijui kwa nini una kawaida ya kupindisha pindisha hoja, oh yes,turning everything inside out and upside down!!
Repeat, kinacho zungumziwa hapa ni upelekaji wanajeshi wa miguu kutoka nchi za magharibi notably NATO/US kwenda kumsaidia Zelensky, ndio maana mimi nikasema hakuna Taifa lolote lenye kujitambua linaweza kudriki kupuuzia onyo kali alilo litoa Putin kuhusu taifa/mataifa kujiingiza moja kwa moja kwenye vita inayo endea nchini Ukraine, nikasema mpaka sasa hakuna taifa lolote lime-defy onyo kali la Putin, hakuna.
Tunavyo fahamu ujeuri na kiburi cha NATO/US unafikiri wangekaa kimya muda wote huu bila ya kutuma wanajeshi na ndege kuishambulia URUSI - now, a million dollar question is:kwa nini wanasita - jibu unalo.
Pesa na mali za Russia nyingi sana zimepigwa Pini, na hizo ndo zinagharamia kila kitu, kule Syria US kalikalia eneo la mafuta serikali ya Syria ikisaidiwa na Russia wapo tu wanatazama hawana Cha kufanya.Hio ni biashara na Ukraine atalipia hakuna cha bure. Russia hana cha kuwafanya US? Kule syria na Venezuela kilitokea nini? Tuanzie kwanza hapa.
Toka msikie Himars Basi kila kitu Himars kuna Mwingine kwenye thread yake kaandika kabisa Hamasi.Kweli wabongo vichwa maji.Duuuh...hasara ya kuwa na utawala wa kimabavu...naona watoto wa masikini wakikaangwa na ma-Himars....
Pole yako msomi unaeishi kwa shemeji yako na kujifanya unajua kila kitu...Toka msikie Himars Basi kila kitu Himars kuna Mwingine kwenye thread yake kaandika kabisa Hamasi.Kweli wabongo vichwa maji.
HIMARS zinamtia adabu mrusiToka msikie Himars Basi kila kitu Himars kuna Mwingine kwenye thread yake kaandika kabisa Hamasi.Kweli wabongo vichwa maji.
Ha ha ha haPutin na urusi yake wameanza kukata moto.
Hao mgambo watawekwa kwenye rambo.
Pole yako msomi unaeishi kwa shemeji yako na kujifanya unajua kila kitu..
Acha ujuaji!Hiii vita inatutesa hakuna cha kufurahi.Alafu Mimi sio Kama wewe ulioko kwa Dada ako.Memba wengi humu wananifahamu physical.Pole yako msomi unaeishi kwa shemeji yako na kujifanya unajua kila kitu...
Na kweli hii vita inawatesa..!!!...Hebu kuwa na huruma uondoke kwa shemejio huoni unampatia mzigo mkubwa. ???Acha ujuaji!Hiii vita inatutesa hakuna cha kufurahi.Alafu Mimi sio Kama wewe ulioko kwa Dada ako.Memba wengi humu wananifahamu physical.