Korea Kaskazini kuipa Urusi wanamgambo 100,000

Korea Kaskazini kuipa Urusi wanamgambo 100,000

Zelensky akiendelea kumtunia misuli na kumdharau Putin au kuendelea kurusha rusha maroketi kwenye aridhi au ndani ya miji ya Russian Federation nina uhakika Putin atatumia uwezo wake kijeshi kikamilifu - hilo likitekelezwa Zelensky na Serikali yake itaondolewa madarakani fasta na hakuna Taifa lolote litaingilia kati kumunusuru atakimbilia Miami Florida kwenye Mansion yake - after all Zelensky is already stinking rich baada ya kupiga hela ndefu kwenye dubious deals kwenye vita hii inayo endelea huko Ukraine.
........ nina uhakika Putin atatumia uwezo wake kijeshi kikamilifu - ..... Uwezo upi tena mkuu wakati hapo juu (kichwa cha Uzi) kinasema atasaidiwa wanamgambo laki moja ili wamsaidie kwenye vita na Ukraine? Sasa ww huoni hiyo ni kauli inayothibitisha kwamba hakika Putin "amekamatiwa chini" na asipopata msaada wa haraka anakwenda na maji. Halafu broo ujue kwamba wanamgambo sio professional soldiers wa viwango. Hao wanamgambo wanauzwa kama bidhaa ya vita na kwa Putin na Mkorea hilo ni dili baina yao na hao mbulukenge wanaenda kukaangwa. Pole zao. watawafahamu Azov ni kina nani.
 
Mkuu naomba kukuhakishia kwamba urusi ilitumia jeshi lake lote kikamilifu Ile wiki 3 za mwanzo za uvamizi wake nchini Ukraine
Usijidanganye kwamba Kuna kitu alikiacha nyuma katika nguvu zake alizokuwa nazo,

Yamkini hata hizi HIMARS zinazomsumbua urusi Leo, zingemeshalipuliwa zamani kama zingekuwepo Ukraine zile siku za mwanzo za uvamizi , maana katika siku zile urusi aliweza kwa kiasi kikubwa kulitawala na kulidhibiti anga la Ukraine

Kwa ufupi ni kwamba kadri siku zinavyokwenda ndivyo urusi anavyozidi kuwa mdebwedo huku Ukraine akizidi kuhimarika ,
Umeshajiuliza wale maelf ya wanajeshi wa Ukraine wanaopewa mafunzo huko marekani na uingereza wakirudi uwanja wa vita Hali itakuwaje?

Huu mkenge aliouingia Putin itabidi ajipange sana,[emoji848]
 
Unamaanisha nyuklia?
Mpaka sasa Putin ameshatumia silaha zake zote kasoro nuclear tu.
Zelensky akiendelea kumtunia misuli na kumdharau Putin au kuendelea kurusha rusha maroketi kwenye aridhi au ndani ya miji ya Russian Federation nina uhakika Putin atatumia uwezo wake kijeshi kikamilifu - hilo likitekelezwa Zelensky na Serikali yake itaondolewa madarakani fasta na hakuna Taifa lolote litaingilia kati kumunusuru atakimbilia Miami Florida kwenye Mansion yake - after all Zelensky is already stinking rich baada ya kupiga hela ndefu kwenye dubious deals kwenye vita hii inayo endelea huko Ukraine.
 
Kwani mataifa mangapi yametangaza kuisaidia Ukraine silaha, unafikiri Putin anapenda Ukraine asaidiwe silaha za kuwafyeka wanajeshi wa urusi na ule msafara wao wa 64km? Au unafikiri Putin ana Cha kuwafanya US, Turkey, Poland, France, UK, Germany, nk ambao wameisaidia Ukraine silaha ambazo zinatoa roho za warusi! Russia maji ya shingo, yeye asaidiwe na yeyote yule lakin kipo palepale.

Hio ni biashara na Ukraine atalipia hakuna cha bure. Russia hana cha kuwafanya US? Kule syria na Venezuela kilitokea nini? Tuanzie kwanza hapa.
 
........ nina uhakika Putin atatumia uwezo wake kijeshi kikamilifu - ..... Uwezo upi tena mkuu wakati hapo juu (kichwa cha Uzi) kinasema atasaidiwa wanamgambo laki moja ili wamsaidie kwenye vita na Ukraine? Sasa ww huoni hiyo ni kauli inayothibitisha kwamba hakika Putin "amekamatiwa chini" na asipopata msaada wa haraka anakwenda na maji. Halafu broo ujue kwamba wanamgambo sio professional soldiers wa viwango. Hao wanamgambo wanauzwa kama bidhaa ya vita na kwa Putin na Mkorea hilo ni dili baina yao na hao mbulukenge wanaenda kukaangwa. Pole zao. watawafahamu Azov ni kina nani.

Kma amekamatiwa chini NATO wanasubiri nini kwenda kum maliza eti dada
 
Mkuu naomba kukuhakishia kwamba urusi ilitumia jeshi lake lote kikamilifu Ile wiki 3 za mwanzo za uvamizi wake nchini Ukraine
Usijidanganye kwamba Kuna kitu alikiacha nyuma katika nguvu zake alizokuwa nazo,

Yamkini hata hizi HIMARS zinazomsumbua urusi Leo, zingemeshalipuliwa zamani kama zingekuwepo Ukraine zile siku za mwanzo za uvamizi , maana katika siku zile urusi aliweza kwa kiasi kikubwa kulitawala na kulidhibiti anga la Ukraine

Kwa ufupi ni kwamba kadri siku zinavyokwenda ndivyo urusi anavyozidi kuwa mdebwedo huku Ukraine akizidi kuhimarika ,
Umeshajiuliza wale maelf ya wanajeshi wa Ukraine wanaopewa mafunzo huko marekani na uingereza wakirudi uwanja wa vita Hali itakuwaje?

Huu mkenge aliouingia Putin itabidi ajipange sana,[emoji848]

Miaka 8 Ukraine anafundishwa na NATO mpaka sasa wamekomboa jimbo gani?? Ubaya wanafundishwa na ushoga humo humo usione zelenksyy karuhusu homosexual. Jeshi la NATO 40% ni mashoga. Tim rainbow mnafurahishaga sana.
 
First thing first, please stick to the main point, mark you - hapa hatuzungumzii masuala ya silaha, sijui kwa nini una kawaida ya kupindisha pindisha hoja, oh yes,turning everything inside out and upside down!!

Repeat, kinacho zungumziwa hapa ni upelekaji wanajeshi wa miguu kutoka nchi za magharibi notably NATO/US kwenda kumsaidia Zelensky, ndio maana mimi nikasema hakuna Taifa lolote lenye kujitambua linaweza kudriki kupuuzia onyo kali alilo litoa Putin kuhusu taifa/mataifa kujiingiza moja kwa moja kwenye vita inayo endea nchini Ukraine, nikasema mpaka sasa hakuna taifa lolote lime-defy onyo kali la Putin, hakuna.

Tunavyo fahamu ujeuri na kiburi cha NATO/US unafikiri wangekaa kimya muda wote huu bila ya kutuma wanajeshi na ndege kuishambulia URUSI - now, a million dollar question is:kwa nini wanasita - jibu unalo.
Putin apuuzwe mara ngapi wakati kila leo anapuuzwa na hana cha kufanya, wapeleke wanajeshi wa nini wakati hao wa Ukraine waliopo wanafanya kazi nzuri, na nani alikudanganya mpango wa NATO ni kuishambulia Russia?! Waziri wa ulinzi wa marekani aliweka wazi lengo la Marekani ni kuifanya vita idumu muda mrefu ili Russia aendelee kutumia rasilimali zake kwenye vita ili adhoofike na liwe funzo kwake ili akome kabisa tabia ya kuvamia nchi za watu huko mbele. Na hadi lengo linatimia kama lilivyopangwa make mwezi wa 6 Sasa kimeumana, na ili kufanikisha zaidi sponsor kule naye keshazuliwa zogo.
Screenshot_2022-08-08-09-22-32-75.jpg
 
Hio ni biashara na Ukraine atalipia hakuna cha bure. Russia hana cha kuwafanya US? Kule syria na Venezuela kilitokea nini? Tuanzie kwanza hapa.
Pesa na mali za Russia nyingi sana zimepigwa Pini, na hizo ndo zinagharamia kila kitu, kule Syria US kalikalia eneo la mafuta serikali ya Syria ikisaidiwa na Russia wapo tu wanatazama hawana Cha kufanya.
 
Duuuh...hasara ya kuwa na utawala wa kimabavu...naona watoto wa masikini wakikaangwa na ma-Himars....
Toka msikie Himars Basi kila kitu Himars kuna Mwingine kwenye thread yake kaandika kabisa Hamasi.Kweli wabongo vichwa maji.
 
Putin na urusi yake wameanza kukata moto.
Hao mgambo watawekwa kwenye rambo.
Ha ha ha ha

US na NATO wanajua wanachokifanya...

Putin hana uwezo wa kupigana vita hii kwa mwaka mmoja..ataua uchumi wake na warusi watamfurushia virago.

Ilikuwa zoezi la wiki moja sasa mwezi wa sita huu
 
Acha ujuaji!Hiii vita inatutesa hakuna cha kufurahi.Alafu Mimi sio Kama wewe ulioko kwa Dada ako.Memba wengi humu wananifahamu physical.
Na kweli hii vita inawatesa..!!!...Hebu kuwa na huruma uondoke kwa shemejio huoni unampatia mzigo mkubwa. ???
 
1660107253884.png

Taifa la Korea Kaskazini limesema liko tayari kutuma wanajeshi laki moja kuisadia Urusi katika vita vyake na Ukraine.

Kauli hiyo ilitolewa katika kipindi kimoja cha tv kinachoruswa na teelevisheni ya taifa ya Urusi.

=====

Korea Kaskazini iko tayari kutuma wanajeshi 100,000 kwa mshirika wake Urusi kama msaada wa kivita kuongeza operesheni ya Kijeshi nchini Ukraine.

"Kuna ripoti kwamba watu 100,000 wa Korea Kaskazini wanataka kujitolea kuwa sehemu ya mapambano yanayoendelea na wajenzi kutoka Korea Kaskazini wako tayari kufanya kazi nasi kurekebisha madhara yaliyotokana na vita" Alisema mbobevu wa ulinzi kutoka Urusi kwenye mjadala uliokuwa unarushwa na televisheni ya kirusi ya Channel one.
 
Back
Top Bottom