Korea Kaskazini kujenga kambi kubwa ya mizinga ya kijeshi Kenya

Korea Kaskazini kujenga kambi kubwa ya mizinga ya kijeshi Kenya

hehehe pickled cabbage itakuwaje ? Haya walete na boiled orangutan brains . MK254 unadhani wange kunywa mvinyo ipi? hehee eti Free Dom Park.
Na huyo Kawasaki Suzuki nasikia alisomea university of kum*moto.
heheh hii kalii

Hehehe!! Halafu hii mada naomba muijadili kwa Kiswahili maana yule dogo wa Korea Kaskazini akiingiwa na mzuka hatojua cha April fools day wala nini, anaweza akatuzibua.
 
Back
Top Bottom