MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #21
hehehe pickled cabbage itakuwaje ? Haya walete na boiled orangutan brains . MK254 unadhani wange kunywa mvinyo ipi? hehee eti Free Dom Park.
Na huyo Kawasaki Suzuki nasikia alisomea university of kum*moto.
heheh hii kalii
Hehehe!! Halafu hii mada naomba muijadili kwa Kiswahili maana yule dogo wa Korea Kaskazini akiingiwa na mzuka hatojua cha April fools day wala nini, anaweza akatuzibua.