Korea Kusini: Viwango vya Uzazi vyazidi kushuka. Hofu ya kutoweka kwa Taifa yaibuka

Korea Kusini: Viwango vya Uzazi vyazidi kushuka. Hofu ya kutoweka kwa Taifa yaibuka

Taifa likiwa tajiri na gharama za maisha zinakuwa juu na kuwashinda Watu wengi.

Mtu anaona asiwape matatizo wanaye watakaozaliwa
Ukweli mchungu, tunavyo sema tunaendelea ukweli ni kwamba maisha halisi ya mwanadamu yana haribika. Tuna kuwa watumwa wa kufa mtu, hakuna fraha tena
 
Cheki moja ya miradi ya serikali yao, kuhamasisha sex, like serious sijawahi ona mtu kashika mimba kwa blowjob! Wamegurugwaa vibaya sana

images (2) (1).jpeg
 
Sa utajuaje km kwenye maisha yako unaweza kutunza idadi flani ya watoto wakati maisha huwa yanabadilika ? Na hata tukichukulia maisha yako ni magumu ukaacha kuzaa nani atakusaidia ukizeeka !?
Kila mtu anatakiwa awe anaandaa Mipango yake ya Mwaka mzima ili baada ya miezi 12 unajifanyia assessment kupima wapi umeferi na wapi umeweza.

Kupitia hiyo mipango ndiyo itasaidia kujua kama Kuna dalili za kufanikiwa ili uendelee kuzaa watoto wengi zaidi ama ubaki na hao ulionao bila kuongeza wengine
 
Chanzo ni ufeminism,Unaporuhusumwanamke aingie kwny mbilinge za kusaka pesa Kama mwanaume,sidhn Kama atakua interested kbs na family issues.

Waarabu na waislamu kwenye hili wamefanikiwa sn, Population ya waarabu iko speed mno, wahamiaji Wanazaliana Kama panya uko U.K ,middle East na magharibi. Wazungu mpk wamestuka race Yao itapoteana.

Hiyo yote Ni kwasababu ya ufeminism kutokuepo Kwny jamii zao, wanaume ni kusaka pesa, wanawake Ni kushinda home,kujiremba,kuzaa na kulea watoto TU.
 
S.korea inaongoza kwa mashoga wengi, pia ndiko Kuna hospital bingwa za plastic surgery kubadilisha mashepu ya Watu.

S. Korea ndo mabingwa wa operation za kubadili Watu jinsia, mashoga ya kule hawana ndevu na warembo kuliko hata wanawake.

S.korea ndiko mashoga Wana leseni kabisa na ulipa kodi, ukimfira ukampunja malipo anakushtaki mahakamani na unaweza fungwa.

S.korea ndiko Kuna viwanda vingi vya sex toys na soko kubwa la dildo duniani, Hata ukihitaji uke wa Rihanna, ukienda dukani unaununua na kujichukulia Sheria mkononi nyumbani kwake bila bughudha ya mtu yeyote.

S.korea suala la punyeto limehalalishwa kabisa na linahamasishwa sana kupitia tv,redio na magazeti mbalimbali ili kuuza sex toys na kutangaza biashara za Ngono.

S.korea na mwenzie Thailand ndio nchi inayoongoza kwa watoto kuuzwa ulaya wakafanye biashara ya Ngono tokea baran asia.

Kiufupi,
S.korea wanavuna walichokipanda
 
Hizo falsafa za kuiga mpk sahv ndo zinaligharimu taifa la Ukraine, Enzi za Soviet walkua na raia wengi sn.

Baada kuegemea magharibi,wakaacha kuzaliana, sahv nchiiko vitani, haina manpower ya kutosha kupigania ardhi yao.

Sahivi wanakokota Hadi wanawake, wazee na watoto waingie frontline kuipigania nchi Yao.

Serikali makini inayojitambua,
Suala la kutunza watoto mpk wanafikia umri wa kujitegemea, Ni jukumu lake la msingi.
Sure

Zaa watoto utakaoweza kuwatunza
 
Back
Top Bottom