The Zanzibar Echo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2025
- 490
- 838
Nimecheka san neno wahuniHawa ni ndugu hata wafanyeje.
Ila kuna Wahuni wanaingolia maisha yao
Yaani limekuwa kama neno jipya siku hizi 😂😂😂Nimecheka san neno wahuni
Kwamba CCM wanaingilia mambo ya Korea?Nimecheka san neno wahuni
Kobazi na kumwaga damu ni kama ni kama CCM na rushwa.KOBAZI NAO WAKIFIKIRIA HILI SUALA DUNIA ITAKAA KWA AMANI SANA
Kwakweli wakubwa wanamuandama sana awe mwangalifu sana na nduguye.Mwanzo mzuri ila huwenda ukawa mtego ili kiduku alegeze wamchape
Lina shika kasi kwakweli 😂 😂Yaani limekuwa kama neno jipya siku hizi 😂😂😂
Sio CCM ndugu wahini wengine tu wa magharibi huko wanatamani sana pavurugike hapoKwamba CCM wanaingilia mambo ya Korea?
neno WAHUNI/MUhuni limekuwa maarufu sanaNimecheka san neno wahuni
Kobazi kuna maandishi yanawaongoza kua wagomvi, Korea mbili hazina maandiko ya kiimani yanayo waongoza kua na chuki, wana tofauti za kiitikadi, mfumo wa Kikoministi na Ubepari; haya ni mambo ambayo sio ya kiimani and hence is easy to reconcileKOBAZI NAO WAKIFIKIRIA HILI SUALA DUNIA ITAKAA KWA AMANI SANA
Kobazi kuna maandishi yanawaongoza kua wagomvi, Korea mbili hazina maandiko ya kiimani yanayo waongoza kua na chuki, wana tofauti za kiitikadi, mfumo wa Kikoministi na Ubepari; haya ni mambo ambayo sio ya kiimani and hence is easy to reconcile
KOBAZI NAO WAKIFIKIRIA HILI SUALA DUNIA ITAKAA KWA AMANI SANA
Kobazi na kumwaga damu ni kama ni kama CCM na rushwa.
Ukoministi na Ubepari sio imani kaka, ni mifumo ya kiuchumi. Nyerere nae aliamini katika ukoministi. Hi ni mifumo ya kuwaletea watu maendeleo ambayo wachumi wa nchi husika huwashawishi viongozi wao na viongozi hua adopt mifumo hiyo. Mifumo hi hainaga nabii wala haiamini katika Mungu, sema mmoja unaamini katika demokrasia while nyingine inaamini katika one man show or ukipenda UDIKTETA.Sasa ni lini waliwahi kuwa marafiki na wana uhasama tokea mwaka 1948 mpaka kulitokea vita vya Korea (1950-1953) na wameendelea kuwa mahasimu mpaka leo?
Ukomunisti na ubepari sio imani? Una uhakika?
Wapigana vita wakubwa dunia hii tena zilizokuwa kubwa kubwa sio nchi za Kiislam.
Eeeh trump atanunaa 😃😃😃achelewi kueka tariffs Korea kusin 🤣Jeshi la Korea Kusini limesema mapema hii leo kwamba limeanza kuondoa vipaza sauti vilivyopo kwenye eneo la mpaka na jirani yake Korea Kaskazini, kama hatua ya kupunguza mvutano kati ya mahasimu hao.
Vipaza sauti hivyo vilikuwa vikitumiwa kueneza propaganda dhidi ya Korea Kaskazini, lakini serikali mpya ya kiliberali ya Korea Kusini ilisitisha matangazo hayo mwezi Juni kama ishara ya maridhiano.
Serikali hiyo inaangazia kurejesha uaminifu na mazungumzo na Pyongyang ambayo imekata mahusiano na Korea Kusini kwa kiasi kikubwa katika siku za karibuni.
Korea Kaskazini ambayo inajilinda sana dhidi ya ukosoaji wa nje kuhusiana na utawala wake wa kiimla na kiongozi wake Kim Jong Un haikusema chochote kuhusiana na hatua hiyo.