Aiiiiiseee!!! Ni kweli hujui kwa nn Marekani aliivamia Afghanistan chini ya utawala wa Taleban? Ni kweli hujui Marekani kwa nn imetumia B-2 kuishambulia Iran?
Hemu tuweni serious kidogo Iran kumiliki silaha za nyuklia anawanyimaje wale wana mgambo wa shia kule Iraq? Hezbollah? Houthi?
Hao wote niliowataja wanaamini kuhusu mass killings na kufa mashahidi kwa ahadi ya kufanya ngono peponi na bikira 72 per each. Ungekuwa wewe ndio super power ungefanyaje ili kuiweka dunia salama?
Ndio maana nikakwambia utumie akili.
Naona hutumii akili zako.
Basi twende kwenye root cause of the problem.
Unajua kwanini Hizbollah walianzishwa?
Chanzo ni vurugu za kisiasa 1958 Beirut ambazo Israel aliifadhili kundi la kisunni kupindua serikali ya kikristo Lebanon.
Pasi na Hizbollah kuwepo basi mgogoro ungezuka zaidi.
Hapo tayari utajua tatizo ni Israel,maana Lebanon ilikua nchi yenye uchumi mkubwa wakati huo tena kuliko hata hiyo Israel.
Tangu mwaka 1995 Netanyahu alikua akisema Iran bado wiki Moja kumiliki nuke weapons. Tangu 1995 hadi sasa ni miaka 30,je Iran ana kombora lolote la nuclear!?
Mr .Grossi Afisa wa IAEA alileta ripoti kutoka Tehran ikisema kuwa Iran wamekatazwa na supreme leader kuunda nuke weapons. Trump akaikataa ripoti na kumwambia Mr.Grossi hajui anachokisema.
Haijatosha Abbas Araghchi akiwa anafanya mazungumzo ya nuclear ya amani ambayo wao wenyewe USA walimuita wakamshambulia.
Pia jiulize kama USA asingeingilia siasa za Yemeni mwaka 2014 je Houthi wangeshika silaha!?
Mbona haya mambo hamuyazungumzii!?
Kama Israel na USA wangefadhili sunni kuua utawala wa kikristo Lebanon je Hizbollah ingeshika silaha!?
Mbona ninyi hamutizami kiini cha tatizo!?