Korea Kusini yaanza kuondoa vipaza sauti kwenye mpaka na korea kaskazini

KOBAZI NAO WAKIFIKIRIA HILI SUALA DUNIA ITAKAA KWA AMANI SANA
Kobazi Wana Kambi za jeshi kwenye taifa Gani?
Nchi Gani inaongoza kuuza silaha na kutengeneza ?
Acheni porojo za kitoto hayo mashati ya vitenge yamewafanya mfikirie kama wamama vile
 
Lazima watatofautiana tu, kwa sababu kaskazini wana uongozi wa mpaka milele na huku kwingine wanapokezana kwa awamu.
 
Waislam ni easy kuwaattack ndio maana watu wengi wanafanya hivyo wakikosq hoja, wanaishia kulaumu waislam hata pasipohusika.

Ila kwa sasa elimu imesambaa na hata wale waislam waliokua brainwashed sasa nao wanapata maarifa.
 
Sema ukweli amani ya hii dunia inaharibiwa na nani?
Teh teh teh! Islamic jihad, alshabab, alqaida, Hezbollah,Isis,idf,boko haramu and the like. Nipo naangalia BBC SWAHILI boko haramu wamechafua hali ya hewa
 
Kobazi kuna maandishi yanawaongoza kua wagomvi, Korea mbili hazina maandiko ya kiimani yanayo waongoza kua na chuki, wana tofauti za kiitikadi, mfumo wa Kikoministi na Ubepari; haya ni mambo ambayo sio ya kiimani and hence is easy to reconcile
Sababu zaweza kuwa tofauti ila athari ni ileile tu, kila kitu kina sababu zake.
 
Teh teh teh! Islamic jihad, alshabab, alqaida, Hezbollah,Isis,idf,boko haramu and the like. Nipo naangalia BBC SWAHILI boko haramu wamechafua hali ya hewa
Wewe hautaki wazungu wauze silaha? Wacha wakichafue tu sasa unafikiri silaha zinatengenezwa ili kupigia picha?
 
Teh teh teh! Islamic jihad, alshabab, alqaida, Hezbollah,Isis,idf,boko haramu and the like. Nipo naangalia BBC SWAHILI boko haramu wamechafua hali ya hewa

Hao wote combined licha ya uovu wao ambao siutetei hawajamfikia ukatili na uharibifu hata Stalin tu, hapo sijamuongeza Hitler, Mao, Pol Pot, madikteta wa Latin America, Marekani na wamagharibi wenzie pamoja na Urusi.

Vita zote mbili za dunia hazikuanzishwa na Waislam.

Wewe mwenyewe ni shahidi wa nafsi yako ni watu gani wakitaka kupigana wewe mwenyewe utashika moyo kwa wasiwasi, kwa sababu unajuwa wana historia ya kuisababishia mabalaa dunia kila wakipigana na huwa wana uharibifu mkubwa.

Sio Waislam waliowahi kutumia silaha za nyuklia.

Ni nani huwa wanazivamia nchi za wengine kuiba rasilimali?
 

Sio kweli, hiyo mifumo ni imani pia.
 
Kwa hiyo una shaulije Taleban na Iran wapewe silaha za nyuklia tuwapime ustaarabu wao? Teh teh teh. Au Houthi na Hezbollah na alshabab?
 
Teh teh teh! Islamic jihad, alshabab, alqaida, Hezbollah,Isis,idf,boko haramu and the like. Nipo naangalia BBC SWAHILI boko haramu wamechafua hali ya hewa
Umeulizwa vita kubwa duniani alianzisha nani!?
-World war 1&2 alianzisha nani?
-Opium war alianzisha nani?
-Vita za mgawanyo Korea alianzisha nani?
-Ukoloni na biashara kubwa ya mabara MATATU ya utumwa alianzisha nani?
Jibu hayo maswali wacha kuruka ruka.
Hiyo Hizbollah unayoisemea wewe kama Israel na USA wasingeleta uchochezi wa kisiasa pale Beirut 1958 basi isingeundwa.
Israel alifadhili vikundi vya kisunni ili kupigana dhidi ya ukristo hadi pale Hizbollah walipoingilia.
Houthi walikua kikundi Cha kisiasa kama ilivyo Chadema au CUF,kisa tu raia ambao asilimia 90 wanamuunga mkono Houthi kumkataa Masoud ambaye ni mshirika wa USA na Saudi Arabia.
USA na Saudi Arabia waliwamiminia risasi kwenye maandamano ya amani raia wa Yemeni na kuwafadhili hadi Alqaeda ili kuwazima ushawishi Houthi.
Je hilo ni sahihi?
Kisa tu hatumtaki Samia na tukaungana na Chadema USA ije utimiminie risasi kisa hatumtaki Samia ambaye ni mshirika wake!?
Toa jibu kama msomi nasubiri jibu hapo.
 
Kwa hiyo una shaulije Taleban na Iran wapewe silaha za nyuklia tuwapime ustaarabu wao? Teh teh teh. Au Houthi na Hezbollah na alshabab?
Kama USA angeenda Afghanistan Taleban wangemchokoza nani?
Nitajie nchi ambayo Taleban amevamia!?
Nitajie nchi ambayo Iran amevamia?
 
Unabishana na mpumbavu tu hapo mkuu.
Kuna muda huwa namuita mpumbavu huyu jamaa.
Kama unabisha tizama hoja atakazokuja nazo.
Akili yake imekaa kwa mlengwa wa kidini wala hatoifungua akili yake kwa lolote lile zaidi atabishana kuvutia upande wake baaas.
 
Kama USA angeenda Afghanistan Taleban wangemchokoza nani?
Nitajie nchi ambayo Taleban amevamia!?
Nitajie nchi ambayo Iran amevamia?
Aiiiiiseee!!! Ni kweli hujui kwa nn Marekani aliivamia Afghanistan chini ya utawala wa Taleban? Ni kweli hujui Marekani kwa nn imetumia B-2 kuishambulia Iran?

Hemu tuweni serious kidogo Iran kumiliki silaha za nyuklia anawanyimaje wale wana mgambo wa shia kule Iraq? Hezbollah? Houthi?

Hao wote niliowataja wanaamini kuhusu mass killings na kufa mashahidi kwa ahadi ya kufanya ngono peponi na bikira 72 per each. Ungekuwa wewe ndio super power ungefanyaje ili kuiweka dunia salama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…