Korea Kusini yaanza kuondoa vipaza sauti kwenye mpaka na korea kaskazini

Ndio maana nikakwambia utumie akili.
Naona hutumii akili zako.
Basi twende kwenye root cause of the problem.
Unajua kwanini Hizbollah walianzishwa?
Chanzo ni vurugu za kisiasa 1958 Beirut ambazo Israel aliifadhili kundi la kisunni kupindua serikali ya kikristo Lebanon.
Pasi na Hizbollah kuwepo basi mgogoro ungezuka zaidi.
Hapo tayari utajua tatizo ni Israel,maana Lebanon ilikua nchi yenye uchumi mkubwa wakati huo tena kuliko hata hiyo Israel.

Tangu mwaka 1995 Netanyahu alikua akisema Iran bado wiki Moja kumiliki nuke weapons. Tangu 1995 hadi sasa ni miaka 30,je Iran ana kombora lolote la nuclear!?
Mr .Grossi Afisa wa IAEA alileta ripoti kutoka Tehran ikisema kuwa Iran wamekatazwa na supreme leader kuunda nuke weapons. Trump akaikataa ripoti na kumwambia Mr.Grossi hajui anachokisema.
Haijatosha Abbas Araghchi akiwa anafanya mazungumzo ya nuclear ya amani ambayo wao wenyewe USA walimuita wakamshambulia.
Pia jiulize kama USA asingeingilia siasa za Yemeni mwaka 2014 je Houthi wangeshika silaha!?
Mbona haya mambo hamuyazungumzii!?
Kama Israel na USA wangefadhili sunni kuua utawala wa kikristo Lebanon je Hizbollah ingeshika silaha!?
Mbona ninyi hamutizami kiini cha tatizo!?
 
Mmmhh!
 
Kwa hiyo una shaulije Taleban na Iran wapewe silaha za nyuklia tuwapime ustaarabu wao? Teh teh teh. Au Houthi na Hezbollah na alshabab?


Nawe vipi unashauri tuwape silaha za nyuklia narco terrorists wa Latin America? Tuwape silaha za nyuklia magenge ya kigaidi ya kuuza madawa ya kulevya kama Sinaloa cartel au Los Zetas wa huko Mexico? Tuwape silaha za nyuklia LRA wa Uganda? Au tuwape Anti Balaka wa CAR ili tuwapime ustaarabu wao?

Hata hivyo magaidi wenye nyuklia mbona wapo tayari na wanalindwa! Ni Mazayuni waliovamia ardhi ya watu huko Palestine na wakaunda dola yao ya uvamizi na sasa hivi wana commit genocide dhidi ya wenyeji.

Kasome doctrine yao hatari ya silaha za nyuklia inayoitwa Samson option kisha rudi hapa.
 
Nchi za kiarabu haziwezi kuishi kwa Amani lile eneo kwa sababu mbili ambaxo ni(1)uwepo wa Israel (2)Rasimali kama mafuta
Sema sababu ni moja dini ya kiislam ndio tatizo palipo uislam hakuna aman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…