kinyama nje
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 1,839
- 2,475
Asante kwa kunitoa hofu. Kwa hiyo zitashuka zenyewe? Inaonekana toka kuzaliwa haziku wahi kukaa kwenye kifuko kwa mujibu wa mama yake. Sasa tunae mtoto mdogo wa miezi mitano ndio tumegundua tofauti zakwake ni kubwa na ukishika una zihisi kabisa,Hio ni kawaida tu mkuu kwa watoto, haina haja ya upasuaji
inaonekana kazaliwa hivyo hivyo maana hata uume unaonekana kuwa mdogo sanaMkuu huyo mtoto wa miaka mi 5 kazaliwa hivyo hivyo au hilo tatizo limeanza sasa hivi??
Mkuu ni miaka mitano au miezi mitano..??inaonekana kazaliwa hivyo hivyo maana hata uume unaonekana kuwa mdogo sana
Ni miaka mitano kiongoziMkuu ni miaka mitano au miezi mitano..??
Kama ni miaka mi 5 hapo kuna tatizo lakini kama ni miezi mi 5 unaweza kwenda kwa dr akamfanyia uchunguzi lakini mara nyingi huwa testis zinashuka zenyewe akifikisha mwaka 1..
Ikishindikana itabidi upasuaji uhusike
Ngiri kuna uwekano wa tumbo kutokuuma? Maana hajawa wahi lalamika. Asante kwa ushauliIsije kuwa dalili ya ngiri??
Mkuu imekuwaje mtoto anafikisha miaka mitano ndio unamuona korodani hazijashuka????Ni miaka mitano kiongozi
Asante kiongozi kesho nitampelekaKuna matatizo ambayo hutokea wakati wa kichanga kikiwa kinakuwa tumboni ambapo testis zinashindwa kudescent(kushuka chini)..inawezekana alipata hili tatizo..fanya kwenda kwa wataalamu wa afya kupata maelezo zaidi..
A.k.a tu kiongozi kama jina lako hapohilo jina lako "kinyama nje"
Imetokea tu kama bahati Tu nikimogesha.kumuuliza mama yake anasema ndivyo alivyo. Sasa ana mdogo wake wa miezi mitano nikubwa kuliko zake. Nime endelea kumkagua sio sababu ya baridi. Kuhusu kungundua Mihangaiko ya kutafuta hivyo narudi MD mbaya watoto wa melalaMkuu imekuwaje mtoto anafikisha miaka mitano ndio unamuona korodani hazijashuka????
Au inawezekana ulipomuona dogo ilikua ni kipindi cha balidi kali au alikua anaoga maji ya baridi korodani zikapanda juu..?
Huyo mpeleke hosiptali dr amcheki lkn ujiandae kisaikolojia na surgery kama ni kweli hazijashuka toka alipozaliwa..
Maana complication za kumuacha hivyo hivyo ni ugumba nA kuongezeka kwa risk ya kupata kansa ya testis
Mbooo yake inasimama?Imetokea tu kama bahati Tu nikimogesha.kumuuliza mama yake anasema ndivyo alivyo. Sasa ana mdogo wake wa miezi mitano nikubwa kuliko zake. Nime endelea kumkagua sio sababu ya baridi. Kuhusu kungundua Mihangaiko ya kutafuta hivyo narudi MD mbaya watoto wa melala
Ina simama ila nikibamiaMbooo yake inasimama?