kinyama nje
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 1,839
- 2,475
Tujipongeza kwanza kwa kuwa hewani nawasalimu wana jf wote niliwa mis sana. Turudi kwenye mada Nina mtoto miaka mitano baada ya kumuogesha hivi kalibuni maana nimekuwa mbali na familia. ni megundua hana zile goroli kipo kingozi tu. Baada ya kugundua hilo nimepata hofu sana. Je tiba ni upasuaji tu? Na je ghalama zikoje kwa sie tusio na bima? Na je hii ni kawaida na itamuathili kiasi gani mtoto. nitafurahi kwa kupata maoni ya kitaalamu asante.