Korodani Tatu

Korodani Tatu

Chunusi za Kidevuni

New Member
Joined
Jun 1, 2012
Posts
4
Reaction score
0
Jamani wanajamii,mimi nina umri wa miaka 17,nina korodani mbili kama kawaida,lakini upand mmoja kuna kitu kama korodani ya tatu,afu kinafanana na korodani nyingine,sasa naombeni ushauri wenu hki ninini?
Je kinaweza kuwa na madhara katika mfumo wa uzazi?
 
Nenda Hospitalini kamuone Daktari upesi akufanyie uchunguzi wa kina usingojee ushauri wa watu hapa nakushauri fanya hivyo . Mkuu.......... Chunusi za Kidevuni
 
Last edited by a moderator:
mkuu nenda hospitali, yawezekana uko unique lakini huwezi jua kwani kuna haja ya kufahamu hiyo ya tatu ipo tangu mdogo au imeota ukubwani maana kama ni tangu mtoto then wazazi watakua wanajua, na kama ni ukubwani basi si ajabu ni ubimbe ambao wahitaji immediate attention
 
Back
Top Bottom