Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inchi hii hawana muda huo,
Labda upige mtu na kitu kizito kisogoni
Au wasikie umekimbia na hela za watu.
Utatafutwa hadi juu ya Angekua
Angekua ni mtoto wa waziri au ndugu wa waziri, definitely ingekua tofauti kabisa, nchi hii bila name droping u nothing, wale traffic officers walifwata mikia yao baada ya Jina la waziri kuwa dropped, shame !Inchi hii hawana muda huo,
Labda upige mtu na kitu kizito kisogoni
Au wasikie umekimbia na hela za watu.
Utatafutwa hadi juu ya miti.
Nchi hii ukipata ajali unaibiwa hadi vitambulisho lakini kuna uzembe pahala.Mmmhh inawezekanaje hii kitu?
Ungepiga picha hiyo gari sasa.. unafeliKorogwe Mjini, Tanga Karibu na Magereza, Kuna raia alikuwa na gari private akisafiri kuelekea Moshi kutokea DSM. Gari ilipata ajali barabarani kabisa kabisa na bar maarufu iitwayo the spirit, karibu na Magereza Korogwe.
Abiria alipelekwa Hospital ya Wilaya Magunga na akafariki the same day. Baadae akawekwa Mochwari kwa siku 7 then akazikwa Korogwe baada ya kukoseakana ndugu kumtambua.
Sasa gari ipo barabarani ya silver na inatolewa vitu kidogo kidogo roughly.
Shida sana.
Hakika kabisa mkuuAngekua ni mtoto wa waziri au ndugu wa waziri, definitely ingekua tofauti kabisa, nchi hii bila name droping u nothing, wale traffic officers walifwata mikia yao baada ya Jina la waziri kuwa dropped, shame !
Marehemu Hana uwezo wa kutoa rushwa.Polisi walishindwa kuiburuza na kuiweka kituoni?
Wewe mleta mada ni daktari, polisi(mgomo baridi) au raia?Korogwe Mjini, Tanga Karibu na Magereza, Kuna raia alikuwa na gari private akisafiri kuelekea Moshi kutokea DSM. Gari ilipata ajali barabarani kabisa kabisa na bar maarufu iitwayo the spirit, karibu na Magereza Korogwe.
Abiria alipelekwa Hospital ya Wilaya Magunga na akafariki the same day. Baadae akawekwa Mochwari kwa siku 7 then akazikwa Korogwe baada ya kukoseakana ndugu kumtambua.
Sasa gari ipo barabarani ya silver na inatolewa vitu kidogo kidogo roughly.
Shida sana.