Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Uchaguzi ni wakoChadema hii au nyingine??
Nimeshindwa hata kukuhurumiaMapicha ya zamani wakati chadema ikiwa kwenye peak ndiyo unatuletea leo, hapo ni wakati wa Hayati Lowassa alipokuwa chadomo!
Mbona na mm nilikuwepo, ila hicho kikundi chenuu hamna kitu kwanguuNimeshindwa hata kukuhurumia
Mapicha ya zamani wakati chadema ikiwa kwenye peak ndiyo unatuletea leo, hapo ni wakati wa Hayati Lowassa alipokuwa chadomo!
HayaMbadala wa CCM Tanga ni ACT na sio CHADEMA
mkuu usihangaike na wajingaView attachment 3032824
CCM sijui kama huwa wana akili kweli. hapa ni Korogwe leo hii...
Usiwaamini watu wa Pwani
Sijawahi kuwa upande wowote
Anadai alikopa Milioni 600 Benk akiwa Mbunge zote akazifichaSitaongeza wala kupunguza kitu.
Hii Hotuba ni Vitamin kwa Ubongo.
Inafikirisha na kutafakarisha
View: https://www.youtube.com/live/iYKeBr8SE7M?si=xtG9H5mbNFgTEd7k