Pre GE2025 Korogwe: Sasa ni Rasmi CCM yafutwa Mkoa wa Tanga

Pre GE2025 Korogwe: Sasa ni Rasmi CCM yafutwa Mkoa wa Tanga

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Good .mko vizuri

Mmeweza kumpiku mama Abdul mwenye pikipiki 700 Kila mkoa alafu Leo nimeona bmchengerwa anagawaia nobaboda T shirt
 
Anadai alikopa Milioni 600 Benk akiwa Mbunge zote akazificha

..wamsaidie kuboresha hotuba yake iwe fupi, na isiwakwaze wasikilizaji.

..hotuba ikiwa ndefu kupita kiasi wasikilizaji wanachoka na kupoteza attention.
 
Tathmini iliyofanywa na Mtandao huru wa Erythrocyte.com unaonyesha kwamba Wananchi wa Tanga sasa wameikataa kabisa ccm baada ya kufuatilia mikutano ya Chadema, inayoitwa Oparesheni 255 kote ilikopita
Bado.
Bado kabisa!

Kuna mambo kadhaa:
Mosi - Jezi za Bodaboda 'Korogwe' Hazijawafikia huko, bado zinaambaa ambaa Ilala.

Pili - Nasikia lengo la chama sasa ni kupata wabunge wengi; hamna nia tena ya kuiondoa CCM ya mama madarakani. Nataka kuwahakikishia hata hilo lengo la wabunge; pamoja na kuwa la kihayawani, hamtaambilia kitu. Mtatupiwa tu vimifupa hapa na pale.

Hizi 'nyomi' tunazoletewa humu bila hata ya dokezo lolote la yaliyozungumzwa kwenye mikutano hiyo, ni ishara tosha ya chama kukengeuka.
Kuna matatizo huko ndani ya chama.
Haya maonyesho ya umati wa watu hayatusaidii chochote sisi.

Mwisho: Ni kama nimekuona kule kwenye picha ya mwanzo kabisa, upande wa kushoto, mstari wa mbele ukiwa umevaa singleti nyeusi! Haaaaaa!
 
Mwalimu alisemaga Wananchi wanataka mabadiliko 🙄
Wakiyakosa ndani ya CCM watayatafuta nje ya CCM ! 😳🙌👍
Huko "nje ya CCM" na kwenyewe sasa kunatia shaka sana.

Katika hali ya kawaida, hii CCM ya 'Chura Kiziwi" ingekuwa ni kama kumsukuma mlevi tu; lakini hali haionyeshi kuwa ya kawaida hata huko nje.
 
Hapa ndio akili za wengi zinafeli. Kwani kuja kisikiliza sera mkutanoni ni kuonyesha umekuwa mfuasi wa chama kinachohutubia? Mbona hapo akili imetumika kidogo sana.
Ok. Sawahao wotewalipewa kadi zaChedema?
Huko kwetu tuna msemo kula kwa fulani ila kulalatutalala kwa fulani
 
Ile laana ya kuwaona watu wa Tanga kama mtaji wa kibwege wa ccm hatimaye imemalizika rasmi baada ya Mungu kuingilia kati, kuanzia sasa hakuna Mtu yeyote mwenye akili timamu anayeweza kuthubutu kusema Tanga ni Ngome ya CCM, Labda awe mwehu.

Tathmini iliyofanywa na Mtandao huru wa Erythrocyte.com unaonyesha kwamba Wananchi wa Tanga sasa wameikataa kabisa ccm baada ya kufuatilia mikutano ya Chadema, inayoitwa Oparesheni 255 kote ilikopita

Hebu angalia Mkutano huu wa CHADEMA pale Korogwe halafu Toa maoni yako

Wamejiandikisha kama wapiga kura?
 
Ninafuatilia hii mikutano ya sasa hivi ya CHADEMA naona kidogo wanajitahidi. Hii mikutano ya sasa haina mihemko na hata idadi ya watu sio mbaya. Na toka hii mikutano imeanza sijaona kiongozi wa CHADEMA akiropoka. Itakuwa wamepata semina ya kimyakimya toka kwa Komredi Humphrey Polepole.
 
Back
Top Bottom